mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,028
Uwiii lazima nikuvurugie, kwani wifi yangu hakutoshi??
Haahaaa eti lazima univurugie!! haya sista, nilikuwa napima upepo tu, wifi yako ananitosha sana tu!!
Uwiii lazima nikuvurugie, kwani wifi yangu hakutoshi??
Haahaaa eti lazima univurugie!! haya sista, nilikuwa napima upepo tu, wifi yako ananitosha sana tu!!
Hayo ndio maneno sasa!! Uje uhangaike na anononimous huku wakati home kifaa cha ukweli kimetuliaaaa, mwisho uje uanzishe na ww mada huku sijui umeombwa nn!! Siku hz balaa tupu mtu eti akiombwa hela anakuja kuomba ushauri huku, wanaume siku hz hawana maamuzi kabisaaaaa
Ni changamoto sana mkuu kwa hawa Dada zetu!
Sasa kama ni Dada zako unalalamika nini?
Ni changamoto sana mkuu kwa hawa Dada zetu!
Habari wakuu!,Natumaini mko poa!,
Leo ningependa kutoa ushuhuda wangu juu ya changamoto za kupata wachumba wa mtandaoni!,
Muda mrefu umepita niliwahi kutuma post ya kutafuta mchumba wa kuoa hapa jamii forum!,nashukuru mungu baadhi ya wasichana walirespond vizuri nikafanya nao mawasiliano then nikaamua kuchagua mmoja ambae niliona ananifaa,sema tatizo yeye alikuwa anaishi mkoa mwingine na mmi naishi mkoa mwingine,lakini mmi niliamua kumkubalia tuwe pamoja kwa sababu niliamini IPO siku tungeonana pengine ningeweza kwenda mkoani anapoishi au yeye kuja ninapoishi,
Tulianza kuishi kama wapenzi kwa mawasiliano lakini changamoto iliyojitokeza yule binti alianza kuniomba pesa za matumizi nimtumie lakini mmi sikumpa nilimwambia sina baada ya hivyo binti akaanza kulalamika kuwa mmi simpendi na mambo mengine mengi!,hivi wandugu kweli inawezekana kumhudumia mpenzi ambae hujawahi kuonana nae live yani face 2 face?,ambae pia bado hujamsoma tabia yake vizuri zaidi?,
sio siri huyo binti moyo wangu ulimpenda sana lakini ilikuwa ni mapema sana kumuamini!,hizo pesa alizohitaji nilikuwa na uwezo wa kumhudumia sema sijawahi kumuona live nimeona picha zake2 na tumewasilana kwenye simu2,ningependa maoni yenu wadau kwenye hili!,
Hivi huyu binti anastahili kutumiwa pesa kweli?
Ume-comment kwa hisia sana, mtu anaweza dhani ndio mhusika. Una point ya msingi lakini.Saa nyingine anakupima tu, kuangalia utu wako. Si ajabu hana ht shida na hiyo ela. But fanya unavyoona wew