mickey drizzy
Member
- Jun 19, 2015
- 30
- 3
Jinsia yako? na merrital status yko?!!!
Am Male, and am cngle
Jinsia yako? na merrital status yko?!!!
Ulishawahi kujiuliza nini matokeo ya kuomba uchumba,urafiki nk. Kwenye mitando? Kama jibu ni ndio ulichokiomba ulikipata namazingira ya kuanzisha mahusiano katika mitandao ndio hayo, ikiwa kamaulifikiria mara mbili basi kubaliana nalo. Pili kama ulitamani mahusiano yakoyawe ya kuonana uso kwa uso usingetumia social media kuomba mahusiano. Sasaumempata umtakae.Muda mrefu umepita niliwahi kutuma post ya kutafuta mchumbawa kuoa hapa Jamii Forum, nashukuru Mungu baadhi ya wasichana wali respondvizuri nikafanya nao mawasiliano then nikaamua kuchagua mmoja.
Tulianza kuishi kama wapenzi kwa mawasiliano lakinichangamoto iliyojitokeza yule binti alianza kuniomba pesa za matumizi nimtumielakini mmi sikumpa nilimwambia sina baada ya hivyo binti akaanza kulalamikakuwa mmi simpendi na mambo mengine mengi!, Hivi wandugu kweli inawezekanakumhudumia mpenzi ambae hujawahi kuonana nae live yani face to face? Ambae piabado hujamsoma tabia yake vizuri zaidi?
Sio siri huyo binti moyo wangu ulimpenda sana
Anasitahili kutokana na mazingira uliyomjengea tokamwanzo si unampenda why dont you help her now! Kwani shida alizonazo sasa naatakazo kuwanazo baada ya kuonana nae ni tofauti au ndio zitakuwa genuine kamafungu lipo mpe tu anashida.Hivi huyu binti anastahili kutumiwa pesa kweli?
ebooo hujatuma tu hadi leo hiyo pesaa..jihesabie ushapigwa kibut teh teh..
Boss, sidhani kama kuna Mwanamke/Manzi yeyote humu ambaye utatangaza unatafuta mchumba/mke, ajitokeze na awe normal. Lazima ana flaws za kutosha ndio maana kashindwa kupata mtu in the real world. Vizuri havipatikani kirahisi kamwe. So wanaojitokeza kutangaza hizo nafasi, inabidi wawe wamejiandaa kisaikolojia.
Achana naye huyo sio mpenzi. yeye mwenyewe hajitambui. hana mshipa wa aibu. ether bado mtoto kimawazo au ndio wale wa kuchuna watu tu kuwafanya atm machine. mtu hajawai kukuona. mawasiliano tuu kwa sms au sim. unapata wapi guts za kuanza kuomba hela. achana naye kabla hujaleta uzi/post nyingine hapa ya kulaumu kupotezewa muda au kupigwa mizinga sana.
Hivi unaanzaje kuomba hela mtu hujawahi hata kuonana nae duuh. Hatari sana
Kuna mwingne kamliza jamaa yangu,ila muda si mrefu no yake itawekwa humu,
Kwani mnaishi mtwara na kigoma kiasi kwamba ni shida hata wikiend moja kufika anakoishi mwenzio.??
kuna watu wanalalamikaga humu kuwa wadada wa humu wanaanzaga na kuvuna pesa badala ya kujenga trust kwanza.
hii ni changamoto ambayo dada zetu inabidi waifanyie kazi. sio kila mtu ni mpita njia kwamba maji utamuuzia. wengine ni wakaaji