Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,989
- 5,066
Saa nyingine anakupima tu, kuangalia utu wako. Si ajabu hana ht shida na hiyo ela. But fanya unavyoona wew
Huku sio kupimana. huwezi mpima mtu kwenye hela kwamba atakuwa anakuhonga au.
ila ukweli ni kwamba wadada wengi sana mtaani ambao wametulia ila sie tunahangaika na micharuko inayowaza kuhongwa na matanuzi tu.
wengine anachojali yeye ni upendo kama ni hela hata yeye atakupa. hana shida ya kuanza kukujaribu kama unatoa hela au la.
tatizo tunatafuta wanawake bar, club nk