Wakati wa Mungu ukifika atakuletea wa kufanana nae, sasahivi utahangaika, utachagua chagua but Mungu akirelease his grace utashangaa utakavyompata kirahisi tena mdada aliye wife material. Yamkini Mungu bado anamtengeneza huyo mke aliyemkusudia kwako, maybe kuna areas of weaknesses ambazo wewe usingeweza kuzivumilia hivyo anamuandaa kwaajili yako na the same kwako. Unaweza kujiona unafaa but Mungu anaona kitu kwako ambacho sio therefore anakutengeneza bila kujijua wewe.
Point, wakati unasubiri mume au mke mwema mwombe sana Mungu akufanye nawewe kua mwema. Ishi katika maisha matakatifu. Tulia mwombe Mungu. Mungu atakusaidia siku atakayoona wewe na mambo yataenda automatically had utashangaa. Wishing you all the best