Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

Mwanamke anazeeka mapema na anapoteza mvuto mapema sana, angalia jokate hata 35 hajafikisha lakini,uzuri kiwango kishashuka,Hana Tena ule mvuto,ndo maana wazee wa kale walisema uzuri wa mwanamke sio sura tabia,sisi wanaume ndo tunaelewa hii kauli kuliko nyinyi

Sent using Jamii Forums mobile app
Jokate ni bonge la demuu
Wapo watt wa 22 yrs mjini hapa hapa na hawana mvuto ule
 
My take...u may be the problem
Haiwezekani 36yrs hujaaamua..

M sure u have met women ambao deep down ur heart unakiri these are good women kabisaa ila sasaaaaaa

Ni either unatoa kasoro sana ladies wanachukuliwa na jamaa wengine or simply give up on u au hujui kuishi na mwanamke...

Over
 
Au umefungwa 'spiritually'...maombi yanahitajika hapa

Au u want mke malaika ashuke na gauni lake toka mbinguni looool hahahahah
 
My take...u may be the problem
Haiwezekani 36yrs hujaaamua..

M sure u have met women ambao deep down ur heart unakiri these are good women kabisaa ila sasaaaaaa

Ni either unatoa kasoro sana ladies wanachukuliwa na jamaa wengine or simply give up on u au hujui kuishi na mwanamke...

Over
Ok
 
Unaona na miaka 25 baada ya mwaka unapata ajali unakufa ...senior bachela naona na miaka 37 natia mimba naishi miaka kibao kifo kitanikutia uzeeni
 
Back
Top Bottom