Weka tena namba ya nida kwenye personal details, Nadhani kuanzia 70% ndo unaruhusiwa kuomba kazi
 
Wakuu na mm nina shida hii, kila nikitaka kuomba kazi hii error ya kwamba sija update namba ya nida inakuja wakat niliweka namb ya nida na ikasema updated successfully, na nimeludia Zaid ya mara tano au profile lazim iwe complete 100% ndo nilihusiwe kuomba?​

View attachment 1695318
Ulivyoweka namba ya nida. Taarifa zako za nida zilitokea automatically, majina matatu, tarehe na mwaka wa kuzaliwa,?? Kama hayakutokea hiyo NIN bado haijaingia
 
Ni nafasi ya kazi kwa level ya degree ya procurement and logistics management.
Hakikisha nafasi unayoomba ndio ileile katika categorises zilizowekwa usije ukaweka equivalent qualification system haitokubali, mfano wewe umesoma transport and logistics unaomba procurement and logistics itagoma
 
Hii changamoto hata mm inanikuta, inaandika hivi hivi sijajua shida nn apo
Shida ni kwamba kozi iliotajwa kama requirement haiendani na yako, Mfano wakitaka "Bachelors in Accounting" wewe ya kwako ikawa "Bachelors in Accounting & Finance" lazma ikugomee!

Yani itaka maneno yale yale ndio yawe kwenye course yako yani viendane by 100%...Vinginevyo itakwambia failed, cheki requirements urudie ku apply upya.

Hata diploma napo inagomaga mfano wanataka "Advanced Diploma in Procurement Management" wewe yako ikawa ni diploma hizi za NTA Level 4 inagoma pia. Yani hio system imekuwa kichaa sana. Mie mpaka nimeamua kuachana nayo tu kwa sasa.
 
Ulivyoweka namba ya nida. Taarifa zako za nida zilitokea automatically, majina matatu, tarehe na mwaka wa kuzaliwa,?? Kama hayakutokea hiyo NIN bado haijaingia
Hazikutokea mkuu, namba yangu ya nida imekosew jina la katkat inawez kuwa Tatzo?
 
Hazikutokea mkuu, namba yangu ya nida imekosew jina la katkat inawez kuwa Tatzo?
Ukifingua kwenye personal details lazima ukute taarifa za nida ,usipozikuta tafuta kifaa kizuri chenye internet 4g upload tena, usitumie tecno utakomaa
20210206_074128.jpg
 
Kuhusu jina kukosewa hata mimi mwaka wa kuzaliwa wamekosea lakini huwa natuma na inakubali bila shida
 
Huu ujumbe umekua ukitokea pindi nikitaka kufanya maombi ya kazi hata katika post ambazo zipo katika category yangu.

Nimejiunga mwaka huu mwanzoni mwa january, profile yangu inasoma 92%.

Naomba ufafanuzi kwa wenye uzoefu na haya mambo.

Screenshot_20210209-201854.jpg
 
Qualifications haziendani na kzi anayoomba.
Nenda tena kaedit vizuri ila hakikisha unachoomba kinaendana na walicholitangaza.
Kazi ya bachelor wewe unaweka masters itagoma
 
Shida ni kwamba kozi iliotajwa kama requirement haiendani na yako, Mfano wakitaka "Bachelors in Accounting" wewe ya kwako ikawa "Bachelors in Accounting & Finance" lazma ikugomee!...
Ndio upeo wao hapo watu wa IT umeishia hapo lkn ina wanyima watu nafasi
 
Nilikua NaomBa kwa anaejua vizuri kuhus ajira portal Mana kwangu Ina asilimia 90 Ila nikitaka kuomba kazi inaandika failed sijui shida Ni nn hasa Mana na kwenye declaration inagoma kueka katiki kale
 
Back
Top Bottom