Changamoto kwa Chadema

Mbona mnaiharakisha sana CHADEMA katika kusonga mbele jamani? Taratibu basi.. They need a break sometimes, wao sio marobot. There are a lot to come, but msitupelekeshe...
 
Mbona mnaiharakisha sana CHADEMA katika kusonga mbele jamani? Taratibu basi.. They need a break sometimes, wao sio marobot. There are a lot to come, but msitupelekeshe...

Tokea Chadema iasisiwe miaka yakriban 20 iliyopita bado inataka muda zaidi kukifanya chama kiwe cha kitaifa zaidi? Nasi tunawapa muda zaidi kabla kuwapa nchi nafikiri itawachukua miaka mingine 25 kui cover nchi nzima.

Pole sana Slaa na Mbowe.
 
Ndugu yangu Hafif, nilitaka kushawishika na hoja yako. Lakini nimeiona kwamba ni baseless kwa kuwa haina research ya kutosha. Kwa nn katika hoja yako hujataja mikoa kama Kigoma,Iringa na Mbeya ambako hata huko pia kuna wabunge wa CDM? Mimi nahisi wewe unatumiwa na CCM kupractise devide and rule, ambayo ni propaganda ya CCM kuiua CDM kwa kutumia Udini na ukabila.

Soma historia ya Tanganyika vizuri anbayo imewekwa bayana sana mwanzoni tu wa mada hii.

Jiulize Kenya na Uganda kuna Ukabila mkubwa sna, Sisi Zanzibar kuna Uunguja na Uoemba, Vipi Tanganyika kwenye makabila zaidi ya 70?

Pitia historiia na kujua mbinu walizotumia wakoloni especially waingereza.
.[/QUOTE]
 
QUOTE]

Kwa hiyo unamaanisha CCM inatumia mbinu hizohizo kuugawa upinzani? Huko unakosema CHADEMA haiendi unahakika kuwa hakuna wafuasi? Ungekuwa wewe mwanasiasa ungetilia mkazo wapi kule amabako una hakika nako au kule kwenye mashaka zaidi?
 
Kwa mtazamo finyu waweza kusema hiyo ndiyo changamoto waliyonayo CHADEMA lakini hii si changamoto hata kidogo. Nataka niulize swali basic ili tuweze kuwa na mtazamo sawa katika hili. Ukitaka kuangusha mti mkubwa porini huanza kukata matawi ama shina lake?

Kwa mtazamo finyu mwingine atasema matawi, kwangu mimi nasema utaanza shina ili upepo utakapovuma hata kama bado shina halijafikia point ya mti kuanguka utakusaidia kuuangusha mti bila nguvu ya ziada kwa sabau mti huko porini in any direction waweza kuangushwa bila kuathiri chochote. Ninachotaka kukisema hapa ni kuangalia mikoa ile ambayo CDM imekubalika in three dimensional (3D) compared na mikoa ambayo mnasema haijakubalika in terms of education, financial, population, level of basic social services n.k. Kwa kuwa sasa jamii kubwa ya watanzania imeishaelimika kuhusu wajibu wa serikali kwa raia wake kuanzia mikoa ile mnayosema CDM wamejizatiti na kibaya zaidi ile mikoa iliyobaki hali ya kiuchumi na huduma za jamii zinakuwa ngumu zaidi ni dhahiri kabisa kuwa automatically CDM nako inakubalika zaidi ya vile mnavyofikiria nyinyi. Huwezi kumwimbia mtu ukabila, udini, au rangi wakati anaona kabisa unatumia vitu hivyo ili kumgawa na wenzake uzidi kumnyonya na kumkandamiza na hamna sehemu yatafanikiwa haya. Kwa tanzania changamoto ya ukanda, ukabila ama udini kama ambavyo inatumiwa na ccm as a propaganda ni kuishiwa vision na inaiangamiza ccm yenyewe! In summary ni kwamba CCM wanaimarisha matawi ya mti ambao CDM wako wanakata shina lake. Mikoa ambayo mnaisema kama changamoto are just a suplement in Tanzanian political environment.
 
Ndugu yangu nafikiri mada hii umeivamia katikati na unachokiandika wala hakina mantiki. lakini hata hivyo nitakusaidia kidogo tu na mengine soma vizuri katika fafanuzi zangu katika mada hii.

Mtaji mkubwa wa chama chochote cha siasa ni kushika Dola. Hilo naomba ulijue.

Kushika Dola maana yake uwe na wabunge wengi bungeni kwani hicho ni chombo cha wananchi cha kutunga sheria kwa kupitisha au kukataa miswada mbali mbali.

Sasa mimi nimejikita zaidi kutoa changamoto kwa Chadema kama mnataka kushika Dola basi muwe chama cha kitaifa na sio kikanda kwa maana wawe na wabunge wengi katika sehemu zote za Tanganyika na zanzibar.

nafikiri hizo ni dondoo tu pitia mada vizuri na kama utapata mushkeri niulize.

Tusidandie treni kwa mbele.
 
Hali ya watu hao ki-elimu ikoje? Maana huenda CDM inaangalia welewa wa sehemu hizo zaidi. Kumbuka CDM si chama tawala chenye fedha nyingi, hivyo lazima kila move iwe a strategic move! Au siyo?
 
Hali ya watu hao ki-elimu ikoje? Maana huenda CDM inaangalia welewa wa sehemu hizo zaidi. Kumbuka CDM si chama tawala chenye fedha nyingi, hivyo lazima kila move iwe a strategic move! Au siyo?

Ndio maana kila chama kina manifesto kwa maana ya kuweka mambo yake sawa kisha wanapita kuinadi ilani yao. Kumbuka ilani inaandikwa kutokana na matakwa au mahitaji ya sehemu husika.

Sasa ni lazima ijuikane nini kinahitajika na namna gani kinawza kupatikana na mnaweka mikakati na mbinu za kukipata ndio mnaweka mikutano. Hiyo haiitaji elimu kubwa wala nini bali watu wanataka vitendo.

Mtaji ni kupata wawakilishi wengi bungeni na hatimaye kuongoza nchi.
 
Umejitahidi kushawishi ila umechemka CHADEMA si cha kidini....NINA WASIWASI NA WEWE kuwa ndo MDINI!
 
Umejitahidi kushawishi ila umechemka CHADEMA si cha kidini....NINA WASIWASI NA WEWE kuwa ndo MDINI!

Nyani haoni kundule.

Lakini nashukuru Darsa limekuingia. Sasa anzeni mikakati ya kukifanya chama kiwe cha kitaifa zaidi na sio kikanda zaidi.

Changamotp hiyo
 
Changamoto za maana zitachukuliwa na kufanyiwa kazi.... za kidini pelekeni kwenye vyama vyenu... Mtoa mada anaonekana kwa upande mmoja kama ana nia njema ya kuwapa changamoto Chadema, kwa upande wa pili ana chuki kubwa na Chadema na kwa upande wa tatu ana chuki kubwa na wakatoliki....... Huo ni unafiki
 
HM Hafif said:
Subiri subiri utamkuta mwana si wako. Vile vile Chadema iliasisiwa kama sikosei 1992 mpaka leo almost 20yrs bado hakijawa na mtazamo wa kitaifa je unahitaji muda gani tena?

Lazima ufahamu sisi hatuna serikali za majimbo. kwa hiyo msipobadili mitazamo yenu Chadema na kuwa na mtazamo wa kitaifa badala ule wenu wa sasa wa kikanda basi maisha yenu yooooooote hamta pata fursa ya kuitawala Tanzania kisharia.

Fikirieni hilo na liwe changamoto kwenu kuelekea uchaguzi wa 2015.

HM Hafif,

..as much as ningependa CDM wawe na wabunge wa kuchaguliwa toka pande zote za muungano, kupata wabunge toka Unguja au Pemba ni vigumu sana kwa wakati huu.

..itachukua muda mrefu na resources nyingi sana kuwabadilisha wananchi wa Unguja na Pemba kupigia kura vyama tofauti ya CCM na CUF.

..katika taaluma ya uchumi kuna kanuni inaitwa opportunity cost, sasa CDM wanapaswa kupima hasara na faida za kutafuta kura kwenye majimbo ya Zenj at the expense ya majimbo ya Tanganyika.

..mpaka sasa hivi chama chenye sura ya kitaifa[bara,visiwani,kaskazini,kusini,mashariki,magharibi,kati] ni CCM tu, sasa tujiulize chama hicho kimeweza vipi kufikia mafanikio hayo? pia vyama vyote vya upinzani havijaweza kuwa na sura ya kitaifa, je ni challenges zipi wanakutana nazo?

..bila shaka ili CDM waweze kushika serikali ya nchi hii wanapaswa kuongeza idadi ya wabunge na wapiga kura wao. now, how does CDM achieve that goal is up for debate. je, wanapaswa kujielekeza kwenye kanda chache zenye kura nyingi? au wajielekeze ktk maeneo mbalimbali na kuwa na support across the entire country?
 
mimi sipingi wala sikubaliani na huyu mtu ila natoa changamoto,kama ni chama cha kikanda tutajua mwisho wa kuzunguka nchi nzima.
naomba ccm wakae kimya tuone sehemu watakazokataliwwa ili tuweze kuwaelewa.
kuhusu udini jamani hakuna wadini kama ccm.nchi ikiongozwa na mkristo waislamu wanalalamika ikiongozwa na mwislamu wakristo wanalalamika ninikinatokea hapo bila ubishi ni jinsi gani viongozi wa ccm walivyo na udinisasa hivi ukimgusa kikwete hata kama kafanya pumba zinazoonekana unashambuliwa na waislamu kama wewe ni mkristo.
natamani uchaguzi wa 2015 uje mapema kwani piga ua ni mkristo atachukua nchi ndipo utaujua udini wa ccm.
namalizia kwa kusema ccm-wadini.
cdm-wakabila je ni chama gani hatari kwa mustakabali wa taifa letu?:hand:
 
Chadema ni chama cha siasa chenye changamoto nyingi sana hususan kukifanya chama hicho kiwe na sura ya kitaifa na sio kikanda, kikabila na kidini

Kwa sasa ni chama kilichoshika katika mikoa ya kanda ya ziwa, na kanda ya mashariki ambako ndio chimbuko na ngome yake kuu.

Lakini chama hiki mpaka leo kinatumia pesa nyingi sana kuelekeza sehemu hizo badala ya kuelekeza Tanga, Morogoro, Dar hususan temeke na kigamboni na ukonga , Mtwara, Lindi na visiwa vya unguja na Pemba ili kiwe na mtazamo wa kitaifa.

Najua wengi watauliza Chadema Dar ipo, lakini kwa mwenye akili utaona wazi waliposhinda ubunge ni ngome kubwa ya watu wa kaskazini. yaani watu wangi wa kaskazini utawapata mbezi, kimara, ubungo, chuo kikuu, sinza, samaki, mpaka boko. watu hawa ni very rare kuwaona temeke, mbagala n.k

Hiyo inazidi kuashiria kuwa chama hiki ni cha kikanda na kina harufu kali sana ya Udini ambayo kwa siri sana wanaitumia katika kupata majority support.

Mtazamo wangu ,CHADEMA ili kiweze kushika nchi yenu ni lazima kiwe chama cha kitaifa badala ya sasa kuwa Chama cha mikoa fulani au makabila fulani fulani.

Hiyo ni changamoto kwa Chadema.

nakubali kwa nusu nusu lakini nayo cuf je na wao hawawezi kuongoza tanzania?
 
Nakubaliana na changamoto ya kuwa CDM ni vyema kujiimarisha mikoa yote TZ. Sikubalini nawe kwa jinsi unavyokiona chama hicho kuwa cha kikanda/kikabila. Kwa maelezo yako umeonyesha kuwa huko ndio chimbuko la CDM inatosha kusema waongeze juhudi kujipanua.

Kama ni mchunguzi mzuri unaweza kufuatilia jinsi TANU ilivyoanza.

Kifupi niseme inatosha kusema CDM wajiimarishe TZ nzima. Vinginevyo kama
si unafiki sijui tutasema nini kwa vyama vya UDP, NCCR na vingine vidogo? Je kwa mtazamo wako vina sura ya kitaifa?

Nimalizie kwa kusema ni pandikizo la ukabila ndio linawasumbua watu wa kushikiwa akili. Hivi watu hawaoni ni nini CDM wanafanya ila wanaona kabila za watu. At one time kulikuwa na idadi kubwa la watu wa jeshi la TZ wakitokea kabila fulani sikumbuki kusikia tuhuma za ukabila! Kipengele hiki kinanifanya niamini kuwa ni propaganda za watawala walioshindwa kutimiza majukumu yao na hivyo kukosa ajenda.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom