Changamoto kwa Chadema

Mbona hujataja Mkoa wa Mbeya na Iringa?Mikoa yote yenye watu wenye ubongo unaofanya kazi sawa sawa CDM wametesa na hapo vile vile ni baada ya CCM kuiba sana.Whether you like it or not kiama cha CCM hakiko mbali,kwanza hiyo 2015 CCM wasipomsimamisha Magufuli kugombea urais CDM watachukua nchi kiulaini sana maana hakuna mwingine anaeweza kupambana na Slaa.
 
Nakuunga mkono mkuu.
kuna watu hawana akili, hii nchi mtu ikikubalika kwa wasukuma na wanyamwezi which is above 50% of the Tanzanian population umekwenda walidhani CCM na cuf wakiegemea kwa vikabila vy akijinga kijinga tu watashinda imekula kwao sasa sukuma land and lake zone yote ni mali na ngome kuu ya Chadema and for ur information CDM wanafungua ofis ndogo ya makao makuu Mwanza, muulize kulichompata chiligati maswa alihutubia mbwa
 
naomba nikuulize great thinker..kwahiyo ww unakubali kua cdm ni chama kilichoegemea kwny makbila flan flan coz c makabila ya kijinga?..great thinker huyooo
 
Kura za wabunge wote wa CUF Zanzibar ndio sawa na idadi ya kura za mbunge mmoja tu wa CHADEMA John Mnyika, kwahiyo tafuta macrapiest wenzako muweze kujifariji na hoja chovu kama hizi. to hell & rest in peace. :rip::rip::rip::rip:

Ndio maana mlishindwa uchaguzi na hali mnayoendelea nayo 2015 mtazidi kuanguka! Unajuwa kwanini nasema hivyo? Kwasababu hamko tayari kujifuinza na mna pupa. Kwenu anaekufungueni macho basi anakumbana na matusi, hivyo siasa inataka matusi?
 
Nafikiri tusiwe wavivu wa kufikiri. Wewe pitia kwenye web site ya bunge kisha angalia chama gani kina wabunge sehemu zote hapa nchini kisha utajua kuwa chama hicho ni chama chenye sura ya kitaifa.

karibu sana

Hilo ni jibu la mtu aliye kosa hoja.
 
Mbona hujataja Mkoa wa Mbeya na Iringa?Mikoa yote yenye watu wenye ubongo unaofanya kazi sawa sawa CDM wametesa na hapo vile vile ni baada ya CCM kuiba sana.Whether you like it or not kiama cha CCM hakiko mbali,kwanza hiyo 2015 CCM wasipomsimamisha Magufuli kugombea urais CDM watachukua nchi kiulaini sana maana hakuna mwingine anaeweza kupambana na Slaa.

Mwenzetu hata jiograph ya tanganyika uijui,

Mbeya na Iringa ipo katika kanda ya juu kusini ambapo ipo pia Mkoa wa katavi,Rukwa, Songea na mkoa mpya wa ambapo ipo njombe. sasa ukiangalie kwa makini wao wapo mijini tu na kuwa na changamoto ya nguvu kuelekea vijijini.

Ndio maana nasema kwa kinywa Chadema wana kazi kubwa sana na changamoto pamoja na kwenda maeneo ya vijijini lakini vile vile kukifanya chama hicho kiwe cha kitaifa kwa kwenda mikoa yote Bara na visiwani.
 
Jamani tuacheni chadema tumalizie fedha za donors maana deadline ya kuzitumia inakaribia na tusipofanya kazi ya kuzunguka kwa kigezo cha kueneza elimu ya demokasia na ili kupata watu lazima tucheze na akili zao tuweke dowans kama catalyst. Tuzunguke sehemu ambazo watu wanamuamko wa kisiasa na ambazo tutapata mahudhurio ya lutosha kuwadanganya wazungu wanaotoa fedha/kodi za wananchi wao kwaajili ya kueneza demokrasia na haki za binadamu duniani. Katika mizunguko hiyo tutalipana posho na perdiem na vilevile tutakijengea chama umaarufu mbele ya wananchi. Deadline ikipita fedha itabidi zirudi zote na mwisho utaonekena hatufanyi kazi na hivyo next time fungu litapungua.

Nashangaa kuna watu wanopanga wao nani agombee chama gani na hisia za kuua chama kingine ndio kigezo cha maendeleo ya nchi tumeumia. Kwanza aliyekuambia Dr. Magufuli anataka urais ni nani kama siyo kutaka kuchonganisha wana ccm? Aliyekuambia Dr. Slaa atagombea 2015 ni nani kama siyo kutaka kumchonganisha na Mbowe? Dr Slaa alishakiri mwenyewe kuwa hatagombea 2015 kama anfepata urais 2010 ama la.

Sisi tusihangaike na means to justify ends but ends to justify means. Cha msingi hapa ni hela ziishe tupate nyingine.
 
kuna watu hawana akili, hii nchi mtu ikikubalika kwa wasukuma na wanyamwezi which is above 50% of the Tanzanian population umekwenda walidhani CCM na cuf wakiegemea kwa vikabila vy akijinga kijinga tu watashinda imekula kwao sasa sukuma land and lake zone yote ni mali na ngome kuu ya Chadema and for ur information CDM wanafungua ofis ndogo ya makao makuu Mwanza, muulize kulichompata chiligati maswa alihutubia mbwa

Acha mawazo mgando na kuwa mvivu wa kufikiri.

Watu wanatafuta wabunge wengi ndani ya Bunge kwani hao ndio wanaoweza kupitisha au kukataa chochote pale bungeni kwa njia ya miswada.

nafikiri soma kazi za Bunge na mfumo wa Srikali ya Muungano kwa makini sana kisha utajua maana ya kuwa na wabunge wengi kuna maana gani.

Sasa wanachofanya CHADEMA ni utoto wa kutaka kura nyingi za Rais na kupata wabunge wachache Bungeni kwa kwenda sehemu zenye wapiga kura wengi lakini zina majimbo machache ya uchaguzi hivyo kuwa na wabunge wachache.

watu wanaangalia majimbo Bwana ndio maana nasimama na kusema tena kwa kujinasibu kuwa CHADEMA WANAKAZI KUBWA SANA YA KUKIFANYA CHAMA HICHO KIWE CHA KITAIFA NA SI KIKANDA ili mupate wabunge wengi na kuunda Serikali iliyo stable.

Kumbuka kuwa ukiwa na wabunge wachache Bungeni Serikali yoyote itakayoundwa haiwezi kuwa stable katika kuongoza nchi
 
Jamani tuacheni chadema tumalizie fedha za donors maana deadline ya kuzitumia inakaribia na tusipofanya kazi ya kuzunguka kwa kigezo cha kueneza elimu ya demokasia na ili kupata watu lazima tucheze na akili zao tuweke dowans kama catalyst. Tuzunguke sehemu ambazo watu wanamuamko wa kisiasa na ambazo tutapata mahudhurio ya lutosha kuwadanganya wazungu wanaotoa fedha/kodi za wananchi wao kwaajili ya kueneza demokrasia na haki za binadamu duniani. Katika mizunguko hiyo tutalipana posho na perdiem na vilevile tutakijengea chama umaarufu mbele ya wananchi. Deadline ikipita fedha itabidi zirudi zote na mwisho utaonekena hatufanyi kazi na hivyo next time fungu litapungua.

Nashangaa kuna watu wanopanga wao nani agombee chama gani na hisia za kuua chama kingine ndio kigezo cha maendeleo ya nchi tumeumia. Kwanza aliyekuambia Dr. Magufuli anataka urais ni nani kama siyo kutaka kuchonganisha wana ccm? Aliyekuambia Dr. Slaa atagombea 2015 ni nani kama siyo kutaka kumchonganisha na Mbowe? Dr Slaa alishakiri mwenyewe kuwa hatagombea 2015 kama anfepata urais 2010 ama la.

Sisi tusihangaike na means to justify ends but ends to justify means. Cha msingi hapa ni hela ziishe tupate nyingine.

Alikuwa anaota ndoto za mchana kweupeeeeee.

Litamchwea.
 
kuna watu hawana akili, hii nchi mtu ikikubalika kwa wasukuma na wanyamwezi which is above 50% of the Tanzanian population umekwenda walidhani CCM na cuf wakiegemea kwa vikabila vy akijinga kijinga tu watashinda imekula kwao sasa sukuma land and lake zone yote ni mali na ngome kuu ya Chadema and for ur information CDM wanafungua ofis ndogo ya makao makuu Mwanza, muulize kulichompata chiligati maswa alihutubia mbwa

Changamoto moja ya Chadema ni kukifanya CHAMA KIWE CHA KITAIFA NA SIO CHA KIKANDA AU KIKABILA. Mtazamo huu mgando na msipochukulia serious hilo basi nchi hii mtaiona kwenye paa tu hamuwezi kutawala.
 
Kwa maana nyingine wapenzi wa chadema humu JF wanaonekana mbumbumbu wa kutojibu hoja na kutokipenda chama chao, wengi huwa tunawaita ni kumbikumbi..tu, viongozi wa chadema lichukueni hili, tushuke kusini -mashariki na pwani, tukavamie ngome ile ya CUF na ccm, kweli kuna haja chama kuwa na sura ya kitaifa kuzidi sasa.

jamani changamoto ni za kuchukua na kufanyia kazi sio kujionyesha kuwa mnaipenda sana CDM ili hali kilichoelezwa ni ukwel...hii nayo akili, eti katumwa ,eti sijui nini ni ufinyu wa mawazo...

mto hoja tutaenda huko LIndi na Mtwara ..stay tuned!
 
Chadema ni chama cha siasa chenye changamoto nyingi sana hususan kukifanya chama hicho kiwe na sura ya kitaifa na sio kikanda, kikabila na kidini

Kwa sasa ni chama kilichoshika katika mikoa ya kanda ya ziwa, na kanda ya mashariki ambako ndio chimbuko na ngome yake kuu.

Lakini chama hiki mpaka leo kinatumia pesa nyingi sana kuelekeza sehemu hizo badala ya kuelekeza Tanga, Morogoro, Dar hususan temeke na kigamboni na ukonga , Mtwara, Lindi na visiwa vya unguja na Pemba ili kiwe na mtazamo wa kitaifa.

Najua wengi watauliza Chadema Dar ipo, lakini kwa mwenye akili utaona wazi waliposhinda ubunge ni ngome kubwa ya watu wa kaskazini. yaani watu wangi wa kaskazini utawapata mbezi, kimara, ubungo, chuo kikuu, sinza, samaki, mpaka boko. watu hawa ni very rare kuwaona temeke, mbagala n.k

Hiyo inazidi kuashiria kuwa chama hiki ni cha kikanda na kina harufu kali sana ya Udini ambayo kwa siri sana wanaitumia katika kupata majority support.

Mtazamo wangu ,CHADEMA ili kiweze kushika nchi yenu ni lazima kiwe chama cha kitaifa badala ya sasa kuwa Chama cha mikoa fulani au makabila fulani fulani.

Hiyo ni changamoto kwa Chadema.

Wewe ni hafifu wa historia kam jina lako, ndiyo maana mambo yasiyopaswa kusumbua kichwa yanakusumbua. hicho chama unachokitete chimbuko lake ni TANU na TANU chimbuko lake TAA na TAA
chimbuko lake nivyama mbali mbali vya kijamii vikiwemo vya kidini (independent churches) sasa unapozungumzia ukanda udini sisi wenye akili zetu hatukuelewe!! kila chama au kikundi chochote kinachoanzishwa duniani hakianziagi kila mahali lazima uwe na target kuwa naanzia hapa naishia pale CDM waliona tuaznie hapo kwa sabau by the time hawakuwa na resource za kuwafikisha kila mahali kwa wakati mmoja. kwa akili yako unafikiri walitakiwa waache shuguli za siasa mpaka watakapokuwa na enough resorces to go everywhere in the country? that is nonsense!! this is a matter of planning resources.
 
nafikiri wewe umeliona hilo. nakushukuru na nawatakia kila lenye heri mkiwa na nia ya kupata wabunge wengi na kuongoza Serikali kupitia Bunge.

lakini lingi kama great thinkers wapo hivi wanakataa ukweli kwa kusambaza uongo vipi wale wenzetu na sisi. Kweli mbadilike kwa kuwa wasikivu na kuchambua mambo kwa mapana na marefu yake badala ya kukurupuka.

Kila lenye kheir
 
Wewe ni hafifu wa historia kam jina lako, ndiyo maana mambo yasiyopaswa kusumbua kichwa yanakusumbua. hicho chama unachokitete chimbuko lake ni TANU na TANU chimbuko lake TAA na TAA
chimbuko lake nivyama mbali mbali vya kijamii vikiwemo vya kidini (independent churches) sasa unapozungumzia ukanda udini sisi wenye akili zetu hatukuelewe!! kila chama au kikundi chochote kinachoanzishwa duniani hakianziagi kila mahali lazima uwe na target kuwa naanzia hapa naishia pale CDM waliona tuaznie hapo kwa sabau by the time hawakuwa na resource za kuwafikisha kila mahali kwa wakati mmoja. kwa akili yako unafikiri walitakiwa waache shuguli za siasa mpaka watakapokuwa na enough resorces to go everywhere in the country? that is nonsense!! this is a matter of planning resources.

Je unajua kuwa Chadema ilianzishwa 1992? mpaka sasa almost 20 yrs unasubiri nini kuwa kimeshaimaliza kuwafikia watu wote hapa Tanzania.

Basi kama hivyo basi itawachukua zaidi ya miaka 50 kuifikia tanzania yote kama miaka 20 mmefika kanda ya Ziwa na mashariki.
Poleni sana
 
Jamani kwa kawaida mtu anaoneshwa changamoto anapaswa kuifanyia kazi na siyo kutukana na kuwa na jazba. You have to accept challenges na dealt with accordingly na siyo kihisia. Changamoto zinazoelezwa hapa ni za ukweli na siyo za chuki inabidi zifanyiwe kazi zana hata chacha wangwe aliyasema haya sana mpaka mauti yanamkuta. viongozi wa chadema wanapaswa kuwaelewesha watu kimatendo kuhusu swala la ukanda na ukabila, kuwaelimisha watu kuhusu siasa na itikadi za chama badala ya kucheza na hisia zao, kuwafikia watendaji wa ngazi za chini kabisa yaani kwenye kata na vitongoji kwa kuwawzesha kifedha na mahitaji muhimu kama lilivyokwisha wasilishwa na marehemu chacha wangwe na kuleta ugomvi mkubwa kati yake na mbowe na mwisho kujiweka katika hali ya kuoonekana kuwa wana uchu wa madaraka na wanataka madaraka kwa namna yoyote refer weal cover la gari ya Mh. Godbless Lema wa Arusha.

Sasa hizi zote ni changamoto zilizo wazi isje ikafika chama kinachukua nchi wengine wakafanya hivyo wakaitwa wahaini, wafitini, wazandiki.
 
Chadema ni chama cha siasa chenye changamoto nyingi sana hususan kukifanya chama hicho kiwe na sura ya kitaifa na sio kikanda, kikabila na kidini

Kwa sasa ni chama kilichoshika katika mikoa ya kanda ya ziwa, na kanda ya mashariki ambako ndio chimbuko na ngome yake kuu.

Lakini chama hiki mpaka leo kinatumia pesa nyingi sana kuelekeza sehemu hizo badala ya kuelekeza Tanga, Morogoro, Dar hususan temeke na kigamboni na ukonga , Mtwara, Lindi na visiwa vya unguja na Pemba ili kiwe na mtazamo wa kitaifa.

Najua wengi watauliza Chadema Dar ipo, lakini kwa mwenye akili utaona wazi waliposhinda ubunge ni ngome kubwa ya watu wa kaskazini. yaani watu wangi wa kaskazini utawapata mbezi, kimara, ubungo, chuo kikuu, sinza, samaki, mpaka boko. watu hawa ni very rare kuwaona temeke, mbagala n.k

Hiyo inazidi kuashiria kuwa chama hiki ni cha kikanda na kina harufu kali sana ya Udini ambayo kwa siri sana wanaitumia katika kupata majority support.

Mtazamo wangu ,CHADEMA ili kiweze kushika nchi yenu ni lazima kiwe chama cha kitaifa badala ya sasa kuwa Chama cha mikoa fulani au makabila fulani fulani.

Hiyo ni changamoto kwa Chadema.

Mwangu hiyo ndio demokrasia kwa mtu/watu wa kabila au rangi ima dini kujiunga na chama chochote ambacho wanadamu hao wanaona chama hicho kitatetea maslahi yake hivyo ndio Demokrasia.
Huwezi ukamlazimisha mtu ajiunge na chama kwa nguvu. hata kwa maneno kama anaona hakina maslahi kwake.
CDM nina hakika wako makini na hilo si chama kisicho kuwa na uono wa mbali.
Charity begins at home.
 
Ndugu yangu Hafif, nilitaka kushawishika na hoja yako. Lakini nimeiona kwamba ni baseless kwa kuwa haina research ya kutosha. Kwa nn katika hoja yako hujataja mikoa kama Kigoma,Iringa na Mbeya ambako hata huko pia kuna wabunge wa CDM? Mimi nahisi wewe unatumiwa na CCM kupractise devide and rule, ambayo ni propaganda ya CCM kuiua CDM kwa kutumia Udini na ukabila.
 
Chadema ni chama cha siasa chenye changamoto nyingi sana hususan kukifanya chama hicho kiwe na sura ya kitaifa na sio kikanda, kikabila na kidini

Kwa sasa ni chama kilichoshika katika mikoa ya kanda ya ziwa, na kanda ya mashariki ambako ndio chimbuko na ngome yake kuu.

Lakini chama hiki mpaka leo kinatumia pesa nyingi sana kuelekeza sehemu hizo badala ya kuelekeza Tanga, Morogoro, Dar hususan temeke na kigamboni na ukonga , Mtwara, Lindi na visiwa vya unguja na Pemba ili kiwe na mtazamo wa kitaifa.

Najua wengi watauliza Chadema Dar ipo, lakini kwa mwenye akili utaona wazi waliposhinda ubunge ni ngome kubwa ya watu wa kaskazini. yaani watu wangi wa kaskazini utawapata mbezi, kimara, ubungo, chuo kikuu, sinza, samaki, mpaka boko. watu hawa ni very rare kuwaona temeke, mbagala n.k

Hiyo inazidi kuashiria kuwa chama hiki ni cha kikanda na kina harufu kali sana ya Udini ambayo kwa siri sana wanaitumia katika kupata majority support.

Mtazamo wangu ,CHADEMA ili kiweze kushika nchi yenu ni lazima kiwe chama cha kitaifa badala ya sasa kuwa Chama cha mikoa fulani au makabila fulani fulani.

Hiyo ni changamoto kwa Chadema.

so kwa kuwa cuf ni chama cha kiislamu, chenye ajenda ya kujenga misikiti na kueneza uislamu, na wameahidi kura zao 2010 kwa jk na 2015 kwa ihr, na kwa kuwa ccm na cuf wameowana ndo kusema ccm na cuf navyo ni vyama vya kiislamu.

mawazo ya kipumbavu sana kusema chadema ni chama cha kidini.

mtaujua tu ukweli kwa sababu hata mnapokinyooshea kidole, hamtoi chama mbadala cha kukifuata au kukiunga mkono.
 
Je una tarifa wanawake wa kikatoliki kule Songea wametamka nini?

Fuatilia kisa tujuze.
 
Back
Top Bottom