Changamoto kwa Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Changamoto kwa Chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by HM Hafif, Mar 5, 2011.

 1. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Chadema ni chama cha siasa chenye changamoto nyingi sana hususan kukifanya chama hicho kiwe na sura ya kitaifa na sio kikanda, kikabila na kidini

  Kwa sasa ni chama kilichoshika katika mikoa ya kanda ya ziwa, na kanda ya mashariki ambako ndio chimbuko na ngome yake kuu.

  Lakini chama hiki mpaka leo kinatumia pesa nyingi sana kuelekeza sehemu hizo badala ya kuelekeza Tanga, Morogoro, Dar hususan temeke na kigamboni na ukonga , Mtwara, Lindi na visiwa vya unguja na Pemba ili kiwe na mtazamo wa kitaifa.

  Najua wengi watauliza Chadema Dar ipo, lakini kwa mwenye akili utaona wazi waliposhinda ubunge ni ngome kubwa ya watu wa kaskazini. yaani watu wangi wa kaskazini utawapata mbezi, kimara, ubungo, chuo kikuu, sinza, samaki, mpaka boko. watu hawa ni very rare kuwaona temeke, mbagala n.k

  Hiyo inazidi kuashiria kuwa chama hiki ni cha kikanda na kina harufu kali sana ya Udini ambayo kwa siri sana wanaitumia katika kupata majority support.

  Mtazamo wangu ,CHADEMA ili kiweze kushika nchi yenu ni lazima kiwe chama cha kitaifa badala ya sasa kuwa Chama cha mikoa fulani au makabila fulani fulani.

  Hiyo ni changamoto kwa Chadema.
   
 2. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  nashukuru kwa kunifungua macho
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Again, same old crap fro same raia wa kijiji kinachoitwa nchi.
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Unaandika kwa id moja, unaingia kwa nyingine unajigongea thanks na kukoment!
  Very low.
   
 5. M

  MCHARA Senior Member

  #5
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  wewe NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK! Una uhakika jimbo la kawe lina wachaga wengi? Ina mana wafanyakazi wa BOT ie Vick Kamata ni mchaga? Wanafunzi wengi wa UDSM ni wachaga? Fanya utafiti kabla ya kuongea. Je kanda ya ziwa ni wachaga? Mbona husemi CCM ni wadini kwan wameshinda maeneo ya Kiislam kv tanga,pwani,mtwara,kigoma na unguja?
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280

  Kura za wabunge wote wa CUF Zanzibar ndio sawa na idadi ya kura za mbunge mmoja tu wa CHADEMA John Mnyika, kwahiyo tafuta macrapiest wenzako muweze kujifariji na hoja chovu kama hizi. to hell & rest in peace. :rip::rip::rip::rip:
   
 7. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  haswaaa
   
 8. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG] Originally Posted by Barubaru [​IMG]
  [/B]

  Ahali yangu.

  Siasa za tanzania na Zanzibar ni sawa kwani zote ni mazalio ya ukoloni. Kumbuka wakati wa Ukoloni wa Mwingwreza alitumia divide and rule katika kutawala East Africa. Kule Kenya na Uganda alitumia Ukabila na hiyo mpaka sasa inawasibu sana. Ukabila unatawala.

  Tanganyika kwa ajili ya wing wa Makabila alitumia kigezo cha UDINi kitu ambacho kwa mujibu wa Historia ni lazima kitawasibu. Wakati kule Zanzibar alitumia Uarabu na uafrika (Shirazi na Hizbu) navyo inawasibu mpaka leo.

  Hakutakuwa na Siri kwa mjuzi yeyote wa hisroria kusema kuwa Tanganyika kuna UDINI ingawa mnajaribu sana kuuficha lakini Historia itawahukumu.

  Kwa msingi huo Tanganyika ni Simba na Yanga lazima mmoja ashinde tu.

  maa salaam

  Nimefurahia sana maneno hapo juu oka kwa Dr Barubaru kwa kusherehesha kuhusu Udini ndani ya Bongo na chimbuko lake

   
 9. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ruka na kataa lakini ukweli unabaki pale pale CHADEMA ni chama cha kikanda sio cha kitaifa. Changamoto jitahidini basi kiwe cha kitaifa na kupata wabunge sehemu zote za nchi.

  Hiyo ni changamoto kubwa kwenu mwelezeni Dr Slaa na Mbowe
   
 10. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #10
  Mar 5, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hafifu kweli ni hafifu,kama cdm ni cha kikanda si ndo ufurahi maana hakitaweza kuiondoa ccm yako?
   
 11. P

  Popompo JF-Expert Member

  #11
  Mar 5, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33

  haya tena kibaraka kazini!mpaka chadema wakutie mimba
   
 12. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #12
  Mar 5, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndio maana nikawapa Chadema Changamoto kuwa wakitaka kushinda na kuongoza nchi NI LAZIMA CHAMA HICHO KIWE CHA KITAIFA NA SIO KIKANDA. kWANI KIKIWA CHA KIKANDA HATA KWA MIAKA MIA TANO IJAYO HAWATAONGOZA NCHI HII.
   
 13. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #13
  Mar 5, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  UKWELI UNAUMA EEHE.

  Hiyo ni Changamoto tu.
   
 14. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #14
  Mar 5, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mbona hujiulizi kwa nini ccm inashinda kirahisi sehemu zenye masikini wengi sana na ujinga uliokithiri? Mfano temeke,mbagala, Same, Mwanga, dodoma, kondoa, singida, mikoa ya mashariki, kusini? Afadhali masikini wa kigoma wamestuka! Tafakari
   
 15. m

  mubi JF-Expert Member

  #15
  Mar 5, 2011
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Chama cha siasa kinapoandikishwa kwa msajili huwa kunasehemu ya kujaza UDINI wake?
   
 16. m

  mubi JF-Expert Member

  #16
  Mar 5, 2011
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Signify, Chama kinapoandikishwa huwa kinajaza blanks zilizowekwa na msajiri, kwamba kabila la Chama, Dini ya chama hicho na Kanda ya Chama hicho?.. Sielewi maana ya UDINI, UKABILA na UKANDA , can u signify or elaborate
   
 17. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #17
  Mar 5, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,833
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo unatushauri tuendelee na maandamano pamoja na mikutano ya hadhara nchi nzima kama ilivyo ratiba si ndiyo....!Basi mwambie mkwere atulie tumnyoe..teh teh teh!
   
 18. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #18
  Mar 5, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Kama macho yako yalikuwa yamefunga, basi ndo yamefungwa zaidi.
   
 19. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #19
  Mar 5, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,972
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nakubaliana na wewe kwa hoja kwamba CDM bado wana changamoto nyingi zinazowakabili ili kujijenga kwa wananchi.
  Sikubaliani na wewe kwamba hichi ni chama cha kidini, kikanda nk. Kukubalika eneo moja na kutokubalika eneo jingine ni kitu cha kawaida kwenye siasa. Mbona hata huko USA tunasikia kuna States ambazo ni ngome ya Repubs na nyingime ni ngome ya Dems? Tena kuna maeneo ya Dems ambapo Repubs huwa hawajisumbui hata kuweka hata wagombea! Pia kuna 'swing' states- maeneo ambako vyama vyote vinakubalika. Juzi juzi kulikuwa na uchaguzi wa Meya wa Chicago. Repubs hawakuwa hata na mgombea hata mmoja, wote walikuwa Dems? Why? Repubs wanajua Chicago ni ngome ya Dems. Mbona vyama hivi havilaumiwi kuwa ni vya kikanda?
  Ikumbukwe pia kwamba kwa chama chochote kuconsolidate support nchi nzima na mkawa na majority siyo kazi rahisi. CCM wapo kote kwa sababu wamerithi toka mfumo wa chama kimoja. Lakini ngome zao zinaendelea kuporomoka kadri watu wanavyoendelea kupata uelewa.
   
 20. W

  Wamtaa huu Senior Member

  #20
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nakuunga mkono mkuu.
   
Loading...