Changamoto kwa Chadema

Ni miaka mingi sasa tangu CCM na vibaraka wake wakitumia propaganda ya Udini na Ukanda Kujaribu kuwaaminisha Watanzania kwamba Chadema chama kikuu cha upinzani na kinachobeba matumaini ya Watanzania ni chama cha Kikabila [wachaga] na ni ya kanda ya kaskazini.

Kinachonishangaza ni kitendo cha hawa wanaoikosoa Chadema kuendelea kungangania kubaki ktk chama kinachodaiwa ni cha kikabila na Kidini.
Kama kweli wanaona Chadema kiko hivyo si waachane nayo na kuunda au kujiunga na chama ambacho sio cha kikabila na kikanda?

Kuendelea kwao kuwepo ktk chama wanachokituhumu kuwa ni cha kibaguzi ni dhahiri kwamba wanacho kisema ni uongo na kwamba nyuma ya agenda yao hiyo kuna siri iliyojificha na ndio maana hawaondoki na badala yake wanaendelea kutumika iku kutimiza malengo ya wafadhili wao.

Wewe, acha kujishaua, wataondoka kweli, halafu saccos yenu uone kama itapata hata mwekiti wa kijiji nje ya huki Kaskazini! Acheni kiburi!
 
Pole wewe unaejingiza ktk kila mada inayopostiwa.umegeuka kuwa km Mwanamke Kahaba anaejipendekeza kwa kila dume angalao km ataambulia chochote.

Kwa andiko lako hili,tegemea hata thread yote kudharauliwa
 
Hawa wanaoshangiliwa na ccm nakuhakikishia hawapendwi na ccm hiyohiyo hatq chembe tu, na hawatakiwi kabisa kukanyaga ccm

Mkuu nakupa pole sana lema hajaenda bungeni ili kuwahamasisha wananchi atown wasiende mkutano wa amani matokeo yake wananchi wamemchoka wanataka amani asubiri kilio 2015
 
Teh teh teh teh! Mkuu jamaa yupo hoi.
waliberalli huwa mnauwezo mkubwa sana wa kujitekenya na kujichekesha menyewe kwa menyewe...Propaganda chafu zenye kuleta mgawanyiko ktk nchi huwa mnazipenda sana wanaccm; UFISADI umewatia upofu kiasi cha kuwafanya mshindwe kuona hatari ya kuwagawa wananchi kwa misingi ya dini na ukabila! najua kuwa mnatumiwa na mataifa matajiri ili waendelee kufaidi rasilimali za nchi hii...amin nawaambia kuwa ipo siku mtaumbuka mtakosa pa kukimbilia, tutawahoji v8 zenu zimetunufaisha vipi, mikufu yenu viunoni, saa na manukato mliyokuwa mnajipaka vimewasaidia vipi waalimu wenye kushindwa kumudu mlo mmoja kwa siku! tutawahoji madini yetu yamekwenda wapi? Tembo wetu wako wapi? umoja wetu umetowekea wapi? iko siku...
 
Wewe, acha kujishaua, wataondoka kweli, halafu saccos yenu uone kama itapata hata mwekiti wa kijiji nje ya huki Kaskazini! Acheni kiburi!

Mimi ni wa kiume bwana na sio km wewe unaetumika km Sindano inayowekwa uzi kwa nyuma halafu yenyewe inashona kwa mbele. Kwa hiyo siwezi kujishaua. Huu ndio ukweli km unajua ni Sakos na kwamba itakufa wakiondoka si muachane nayo ife na kwanini utoe ushauri!?

Ni ajabu wewe ambae ni mwana CCM kuionea Chadema huruma badala ya kufurahia kifo chake[Kama ni kweli]. Huu ni ujinga na ni Unafiki kwa kuwa huwezi kuipenda Chadema wakati unaiponda.
 
Kwa andiko lako hili,tegemea hata thread yote kudharauliwa

Kwani thread hii nilipost ili wewe uisifie???????
Tunakujua wewe ni sawa na Kiberiti ngoma kwa kujiingiza ktk kila hoja. Endelea tu kujipa matumaini km huyo Nape wako kwa kudhani kuwa kutunga uwongo dhidi ya Chadema ndio njia ya kukiuwa!!

Mtasubiri sana!!!
 
Sasa mkibaki wachaga peke yenu itawasaidia nini?au wachaga wenzenu ndio watawaingiza ikulu? Hii ndio faida ya kuanzisha uzi wakati mbege imekolea kichwani.
 
Kwani thread hii nilipost ili wewe uisifie???????
Tunakujua wewe ni sawa na Kiberiti ngoma kwa kujiingiza ktk kila hoja. Endelea tu kujipa matumaini km huyo Nape wako kwa kudhani kuwa kutunga uwongo dhidi ya Chadema ndio njia ya kukiuwa!!

Mtasubiri sana!!!

Duh nimegeuka kibiriti ngoma?
 
Pole wewe unaejingiza ktk kila mada inayopostiwa.umegeuka kuwa km Mwanamke Kahaba anaejipendekeza kwa kila dume angalao km ataambulia chochote.

Nchomba unapiga penyewe,"U HIT DEM WHERE IT HURTS".
 
Back
Top Bottom