USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 11,718
- 27,812
Nchi zote waandaaji wamewaachia mashabiki wa soka kuingia viwanjani kushangilia timu zao za taifa bure .
Timu shiriki zimekuja na mashabiki wamelipiwa viingilia nyie mpo busy kutoza hela nyingi sana sijui mnataka nini na idadi ya mashabiki inazidi kupungua mechi ijayo mtatazama wenyewe VIP Kwa ubahili wenu
Jana kenya kavunja record ya mashabiki juzi uganda alijaza wao wanaingiza watu bure au kuweka kiqango cha chini kabisa sio nyie elfu 20000 na 10000 na 5000 hiyo pesa hata simba na yanga hawaweki na bado huwa wanalipwa mashabiki
Usitafute faida tafuta ushindi