Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,919
Nadhani hawa wachezaji wote wapelekwe jkt wiki 2 wakitoka hapo
hii ndio ingekuwa inatumika, mengine wanafanya kusudi kabisa.
Nadhani hawa wachezaji wote wapelekwe jkt wiki 2 wakitoka hapo
Alifanya makosa sana kutaka kubadilisha kila kitu pale TFF,baadhi ni haya
1.Kuvunja mkataba wa Kim Poulsen
2.Kuhamishia ofisi za TFF Posta
3.Kutaka kubadilisha jina la Taifa
4.Kubadilisha jezi za Taifa Stars
5.Ameanzisha timu inaitwa maboresho,sijui hata ina umuhimu gani
6.
7.
Umeandika lakini ....??
Tumtafute mzee Mwinyi afute ilekauli ya kichwa cha mwendawazim.
Afute kabla hajamfuata Nyerere. TUKICHELEWA AKAENDA BILAKUIFUTA NDO BASI TENA.
punguza lager mkuu, mwezi mtukufu huu
Ushundi upo.. miujiza ipo... tuendelee kuwa na matumaini
6.Kaongeza idadi ya wachezaji wa kigeni hadi 8
7.kakarabati uwanja wa Kaitaba
8. Mechi Zach Stars zinarushwa live
9.karuhusu mchezaji mwenye adhabu kuchagua mechi Zach kufungiwa
10.
11.
Mwingine aendeleze
Ndio nimeandika.
6.Kaongeza idadi ya wachezaji wa kigeni hadi 8
7.kakarabati uwanja wa Kaitaba
8. Mechi Zach Stars zinarushwa live
9.karuhusu mchezaji mwenye adhabu kuchagua mechi Zach kufungiwa
10.
11.
Mwingine aendeleze