CHAN 2016 Qualifiers: Tanzania vs Uganda

CHAN 2016 Qualifiers: Tanzania vs Uganda

Hivi Nooj hajiulizi kwanini Plujin wa Yanga anamuweka benchi Dida? Ovyo kabisa huyu kocha
 
Tumtafute mzee Mwinyi afute ilekauli ya kichwa cha mwendawazim.

Afute kabla hajamfuata Nyerere. TUKICHELEWA AKAENDA BILAKUIFUTA NDO BASI TENA.

Hata akifuta haitasaidia
 
Na tupigwe tu, hamna namna nyingine sasa
Unaambiwa andaa timu na wachezaji wazuri, wewe unakaidi, utapigwa tu
Eeh mwapige tu, maana hamna namna nyingine sasa...paa paaa paaa paaa- IN PM voice
 
Duh mhudumu lete tusker ya baridi angalau nionyeshe uzalendo kwa kuchangia pato la Taifa.
HT
sisi 0-1 wao.
 
Kuna haja ya kuanzisha kampeni ya kumuondoa Malinzi,hakuna alichofanya toka aingie madarakani
 
Hili litimu letu tunajua ni lakufungwa tu. wala tusitegemee lolote.
 
line ups please
1. Dida
2. Kapombe
3. Banda
4. Canavaro
5. Mbonde
6. Nyoni
7. Domayo
8. Mkude
9. Msuva
10. Friday
11. Kiemba

NB Hakuna formation maalum ya kocha, anatafuta sare.
 
Bahati yao mechi haijachezwa Taifa Leo tungetembeza bakora kuanzia Malinzi mpaka wachezaji wake, pumbavu zao hawa, siwapendi mno nyau
 
Back
Top Bottom