Malinzi kama ana akili aachie ngazi tu.
Kwani anatokea Yanga?Hivi Ajib anaumwa?
Wazawa ndiyo mbuzi kabisa mfano kocha kama julio unategemea nini labda tukianzisha kombe la ubishi na maneno hapo wazawa wanaweza kutufikisha mbali,Mara 100 kuwa na makocha WAZALENDO....
Tuachane na hawa wazungu sasa...
Kwani yanga inacheza?Kwani anatokea Yanga?
Kwani anatokea Yanga?
Wazawa ndiyo mbuzi kabisa mfano kocha kama julio unategemea nini labda tukianzisha kombe la ubishi na maneno hapo wazawa wanaweza kutufikisha mbali,
Huwa nasema siku zote hatuwezi kuwa na timu ya taifa nzuri wakati virabu vyetu hovyo haitatokea kamwe labda mungu awe na upendeleo atupendelee maksudi.
Narudia tena....Wazawa ndiyo mbuzi kabisa mfano kocha kama julio unategemea nini labda tukianzisha kombe la ubishi na maneno hapo wazawa wanaweza kutufikisha mbali,
Huwa nasema siku zote hatuwezi kuwa na timu ya taifa nzuri wakati virabu vyetu hovyo haitatokea kamwe labda mungu awe na upendeleo atupendelee maksudi.
Naona umepona.