CHAN 2016 Qualifiers: Tanzania vs Uganda

CHAN 2016 Qualifiers: Tanzania vs Uganda

heheuehe hehehehehee wabaka fani za watu...mnataka kuvuna miwa kweny shamba la mianz....
 
malinzi mwehu ye anajikita ktk kuunda sera zakupiga pesa tu. huku mpra unakwshnei.kweli kufa kufaana
 
Hivi Malinzi alishawahi kucheza mpira kweli, au ndo mission town
 
Malinzi na aondoke tu..hii ni aibu kwake na kwa familia yake. Mechi tano mfululizo, tunadundwa tu...Akijuuzulu tutamwelewa, aache ofisi, uchaguzi uitishwe...waje wazalendo wengine!

Aibu, aibu, aibu....sina kumbukumbu zozote kama Taifa Stars ishawahi kufungwa mechi tano mfululizo...
 
TFF chini ya malinzi wanazima mashamushamu ya kupenda mpira wa tanzania...
 
Siku hizi ku-bet tanzania itafungwa ni rais sana, unamliza muhindi wako...
 
napendekeza timu ya taifa iundwe na vijana mbalimbali wa ndondo kutoka mitaa ya gomz, mwananyamala, tbt, vingunguti, mbagala n.k wale vijana wakipewa bange tu hatareee hucheza kama barca. tujaribu huko
cc Pdidy
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom