CHAN 2016 Qualifiers: Tanzania vs Uganda

CHAN 2016 Qualifiers: Tanzania vs Uganda

Mara 100 kuwa na makocha WAZALENDO....

Tuachane na hawa wazungu sasa...
 
TUFANYENI KAMPENI ZA KUMKATAA MALINZI NA TFF YAKE. tumechoka kwa kweli.
 
Hahahaaah,,,,,,,,dida na mabeki wake wanachanganyana.
 
TUMLETENI YULE KOCHA aichukue team hii ya Taifa .Golan kapunovic kama sijakosea jina.
 
ila tukumbuke hata LIGI YETU team zetu zinanunua sana mechi. na haya ndo matokeo yake.
 
TUMLETENI YULE KOCHA aichukue team hii ya Taifa .Golan kapunovic kama sijakosea jina.
Hatuhitaji makocha wazungu sasa hivi...

Tuwape wazalendo akina Mkwasa...Kibaden...Mwambusi..Julio..Makata na wengine...

Hao wazungu wameshaprove failure...
 
Back
Top Bottom