Hivi unajua tangu malinzi aingie tumeshinda mechi mbili tu,zingine kama 15 tumepigwa
Kumbe tushawahi kushinda??? Mi sikumbuki naona kila siku maumivu tu
Azam tv.!
Taifa Stars ikitaka kushinda kesho ipangwe hivi:
(1) Mwadini Ally
(2) S Kapombe
(3) Mwinyi Haji
(4) H Isihaka
(5) Nadir H
(6) J Mkude
(7) S Mdelwa
(8) A Banda
(9) S. Msuva
(10) R mandawa
(11) Kelvin F
Sub: H. Dilunga, A. Green
Hawa Azam nao naona hiyo chn 100 waliosema watabroascast toka saa 1:30 wameweka ratiba eti watakiwa wana kipindi cha build up ...sasa sijuhi hii ndio nini nayo wadau
Katika michuano ya Kombe la Mataifa barani Afrika, kwa wachezaji wa vilabu vya ndani tu.
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars leo itakuwa katika kibarua chake cha kwanza ikivaana na Uganda The cranes.
"CHAN live ndani ya azamtv Tanzania v Uganda moja kwa moja kutoka uwanja wa Amani ZNZ, channel namba 100 saa 2 usiku,uchambuzi saa 1:30.."
Nina Matumaini makubwa kwamba Taifa Stars itashinda hii mechi kutokana na nature ya michuano.
Ubora wa wachezaji wa ligi Kuu Tanzania ni nzuri ukilinganisha na wachezaji wa ligi Kuu Uganda.
Tukumbuke kwamba The Cranes wamekuwa wakifanya vizuri kutokana na kuwa na idadi kubwa ya wachezaji wanaocheza nje.
Tutakuwa tukipeana Updates hapa za kinachoendelea hapa.
Hapo kwenye red, inamaana itarushwa bure kupitia info channel? (ile channel yao ya matangazo) au tutaipata kupitia Azam 2? Maana namba 100 ni Info Channel.
Hawa Azam nao naona hiyo chn 100 waliosema watabroascast toka saa 1:30 wameweka ratiba eti watakiwa wana kipindi cha build up ...sasa sijuhi hii ndio nini nayo wadau
Tusubiri muda ukifika
Channel namba 100 ni Info channel.....!
Mechi itarushwa kupitia channel hiyo.!