Cynic
JF-Expert Member
- Jan 5, 2009
- 5,144
- 1,655
Channel namba 100 ni Info channel.....!
Mechi itarushwa kupitia channel hiyo.!
Online je?....
Channel namba 100 ni Info channel.....!
Mechi itarushwa kupitia channel hiyo.!
Mnaoangalia chondechonde updates muhimu,Mungu Akijaalia zikafika 2 Kabla ya ht naenda kuangalia
Azam 2 tena!!!ILI LINCHI HILI!!
Nchi yetu haina plan ndo maana hata haya mambo yanageuka kama treni la Mwakyembe
VP jamani tunawapeleka au
Msuva haonekani kabisa.
hii ngoma tunalala 0-1