CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

CHAMPIONS LEAGUE FINAL: REAL MADRID vs ATLETICO MADRID 24:05:2014

Atletico misuli imejaa upepo,hawawezi kukimbia kabisa,madrid..bao la 4
 
staring wa Kihindi lazima afunge C Ronaldo kamzuia Luis Suarez kuibeba kiatu cha Dhahabu Europe Real Madrid 4 ATM 0
 
Wenye mioyo midogo kulala,wakuu nategemea kupata matokeo toka kwenu mnaocheki live mambo yakoje kwa sasa nataka ATM agongwe.
 
Msimu ujao ukianza ntahamia ATM mazima, Nipo madrid kwa ajili ya ronaldo tu
 
Ronaldo katafta goli kwa udi na uvumba mpaka kalipata. Sio mbaya ATM watarekebisha makosa haya msimu ujao.
 
Duuuuh!! RM Na LA DECIMA, BRAVO KWA CARLO ANCELOTTI...THE SO CALLED SPECIAL ONE COULDN'T....BUT THE INTELLIGENCT ITALIAN TACTICIAN JUST DELIVERED..
VIVA MADRID!!!
 
Jambazi au Adui wa Kihindi na Suti Nyeusi anataka kupigana sasa Staring wakihindi ndio kafunga Polisi wa. Kihindi(marefa) anachelewesha kufika kwenye tukio
 
Yani ukilegea tu hawa madrid wanakushindilia vya nguvu hawana cha msamaha
 
Back
Top Bottom