Nafikiri ungekuwa unafikiri kabla ya kuandika jambo, hivi kweli CCM ni makini kwa kuwatumikia wananchi kwa yepi au makini kwa kushinda uchaguzi, tofautisha kushinda uchaguzi na utekelezaji wa ilani yake.
Umeandika kwa ushabiki zaidi ya mantiki yenyewe labda ungesema CCM huwa makini linapokuja suala la chaguzi inaweza ikapata hizo 70% lakini si kwa kuwatumikia wananchi.
Ndege ya Uchumi
Sijakutusi ila ni mtazamo wangu kwamba uchambuzi ulioufanya sio sahihi.Nimekusoma kwa makini na nimekuelwa vizuri sana.Rejea tena uchambuzi wako halafu tafakari kwa kina utagundua kwamba umekosea.Umekipa CCJ 10% halafu ukavipa CUF na CHADEMA 8% kitu amabcho sio sahihi.Umekaa kishabiki zaidi.
This is a very stupid analysis ambayo sijawahi kuiona.Kweli wewe unaongozwa na hisia zaidi kuliko kufanya uchambuzi wa kina.CCJ hata kama kitakuwa na nguvu vipi hakitaweza kupata Wabunge kwahizo asilimia ulizoziweka,kwani sio rahisi kama unavyodhani....kutangaza chama cha siasa sio kazi rahisi....inahitaji angalau miaka 3 ili kujitambulisha vya kutosha kwa watanzania...kumbuka hapa ni Tanzania na sio nchi Marekani wala Uingereza...Hata hao wabunge watakaokianzisha wengi wao watapoteza ubunge wao wakigombea kupitia CCJ....
GS,
Kushinda chaguzi kunahitaji nguvu ya kisiasa, hautaweza kupata kura zaidi ya nguvu za kisiasa uliyonayo kwa wapiga kura husika, nguvu hizo zinaweza kuwa za chama(ambazo zinahitaji muda kuzijenga) au nguvu za mtu(watu) waliopo/watakaokuwepo kwenye chama husika.
Kwa hili la pili, everything is possible, Kumbuka mwaka 1995,NCCR from nothing waliweza kupata wabunge 19 na 28% za urais,hii ilitokana na mtu mmoja tu maarufu Mrema,fikiria kungekuwa na kina mrema 15 wakatoka pamoja kujiunga NCCR?
Never say never in politics.
Kwa nguvu ya CCM za sasa ukulinganisha na udhaifu wa upinzani tulionao hakuna sababu ya CCM kufanya hivyo, hilo kwa sasa halipo.To Add on that
Nguvu zaweza kutoka huko huko CCM ili kiweze ( CCJ) kupambana na vyama vingine na baada ya Uchaguzi CCJ kijibomoe na kurudi kilikotoka. This can be conspiaracy, but it works
To Add on that
Nguvu zaweza kutoka huko huko CCM ili kiweze ( CCJ) kupambana na vyama vingine na baada ya Uchaguzi CCJ kijibomoe na kurudi kilikotoka. This can be conspiaracy, but it works
Ni watu kibao, vigogo wa CCM, na wengineo prominent.Ndugu yangu,i kina nani waanzilishi wa messiah huyu-CCJ ?
Ni watu kibao, vigogo wa CCM, na wengineo prominent.
Tuwe wapole, tutapata LIST ya majina yao huenda ndani ya wiki hii ijayo!
Lakini kwa ujumla, ni jambo la ukombozi kwa mtu yeyote rational!
MwanaFA we are sailing in the same boat!Mtu yoyote rational hawezi kusupport chama cha siasa bila kujua ni wakina nani wapo nyuma yake. Ngoja tupate kwanza hiyo list ndiyo tusupport siyo kwenda kichwa kichwa. Vigogo wa CCM waweza kuwa wa aina nyingi. Wanaweza kuwa wale mafisadi au wanao tetea maslahi ya wananchi na taifa.
Ni watu kibao, vigogo wa CCM, na wengineo prominent.
Tuwe wapole, tutapata LIST ya majina yao huenda ndani ya wiki hii ijayo!
Lakini kwa ujumla, ni jambo la ukombozi kwa mtu yeyote rational!
"Kwa Kizungu hali hii hutwa 'dilemma'"; ni utatizi wa uamuzi, kama penye njia panda:
Kifo cha maji kushoto,
Kulia kifo cha moto:
Kukubali, kukataa,
Kila moja ni balaa!
Kote uko hatarini,
Hujui ufanye nini. "
- Julius K. Nyerere, Uongozi wetu na Hatma ya Tanzania, uk. 54
Can u try talking anything new sometimes?CCJ ni wachovu wa kisiasa...ndio maana wanajiita sisi je?