Tusubiri mkuu,hata hao kina Invisible wakiamuwa kujitokeza tutawasapoti kwa nguvu zetu zote....Hivyo ondoa shaka mkuu,hayo mambo ya cc yasikupe shida sana,this time inaelekea itakuwa kati ya ccJamii na ccMafisadi...Kaazi.Chama cha jamii gani/ipi? Hizi CC ambazo zilikuwa kule kwenye nCCr huwa wazipendea nini?
Muda umeenda na tumebakia na miezi kama 9. Muda huo uliobakia unatosha kuitangaza CCJ na wao kukubalika kwa wananchi na kuweza kugombea ubunge, udiwani na Urais?
Mkuu hii yako mie sijaielewa naona imekaa ki comedy kidogo.Hatuwezi kuwa makini kidogo nyakati hizi tukielekea uchaguzi hasa tunapochangia mada muhimu kama hii, au wewe ni Mkenya hivyo hu feel?Tuna chama wadau, kwa mujibu wa redio mbao. Wanabodi wote wenye post zaidi ya 10,000 wana candidacy ya ubunge sehemu wanapotaka, wakigongana mwenye posts zenye thanks nyingi anashinda.
Tusubiri mkuu,hata hao kina Invisible wakiamuwa kujitokeza tutawasapoti kwa nguvu zetu zote....Hivyo ondoa shaka mkuu,hayo mambo ya cc yasikupe shida sana,this time inaelekea itakuwa kati ya ccJamii na ccMafisadi...Kaazi.
Isije kawa Rev. wetu kafanya mambo tayari? ngoja niitafute ile thread........!
tanzania akuna upinzani,. upinzani wa kweli utatoka ndani ya ccm alisema nyerere
wamejipanga kujitoa wakijua fika hawana nafasi ndani ya CCM.
Hawa watu ni wanafiki tu, hakuna kigogo hata mmoja ndani ya CCM ambaye ni mzalendo wa kweli kwani asingeweza kuwa kigogo pasipo kuiba na kujiweka ktk nafasi ya kuitwa kigogo...FEDHA ndio msingi wa mafanikio yao na sasa ngoma nzito hawana pa kutokea isipokuwa kujiunga na chama kingine ama kubahatisha ktk vyama vya Upinzani.
Ni muhimu sana mfahamu kwamba malengo yao sii mapungufu ya Utawala uliopo kwani wao ndaio hasa sababu ya mapungufu haya, hivyo kuja kwao na chama kipya ama hadithi mpya haina maana wanalo JIPYA na la maana. Wanakuja kwa sababu wanaangushwa ndani ya CCM
Wakati mwingine tunapaswa tumia japo sehemu ndogo ya muda wako kujifikirisha zaidi ya yale yaliotoka kinywani mwa mtu mwingine. Upinzani, unapinga nini na kwanini unapinga? Alichomaanisha nyerere sio unachokisema hapa! Mbona wengi wa viongozi wa upinzani waliwahi kuwepo cmm? Alichomaanisha nyerere ni kuwa upinzani utashamiri pale dola itakapoachana na ccm, jiulize ni lini na ni kwa vipi, na wewe unaweza kushiriki vipi?
Jiulize maswali mepesi, mwaka 1995 Nyerere aliacha ghafla kampeni ya Mkapa mkoani kilimanjaro akakimbilia Zanzibar kwenda kumtangaza Komandoo rais, na hapohapo wiki chache wakafuta matokeo ya majimbo mbalimbali ya uchaguzi ikiwemo karibia Dar es salaam yote. Hii yote ilikuwa ni kwa sababu ya wapinzani ndani ya ccm?
Chama kimeshapata usajili wa muda..