Chama Kipya (CCJ) na Hatima ya CCM - lisemwalo...

Chama Kipya (CCJ) na Hatima ya CCM - lisemwalo...

Jamani, mbona msajili wa vyma anasema hakuna chama kama hicho -" CCJ is a hoax-says Tendwa" front page daily news ya leo! Hii hadithi ya kufikirika au ndiyo siasa za kitoto bongo ?
 
Ukitaka kujua ukweli wa CCJ soma posts zote zilizotangulia katika thread hii.
I concluded, CCJ is nothing!
 
Haya tunasubiri sera na misimamo ya chama tujiandae kupiga kura majina na changamoto zao katika jamii
2010 sikuwa na mpango wa kupiga kura ila nitaangalia kama hiyo CCJ itanifanya nibadilishe maamuzi yangu
najua wapo watakaosema nakosa haki yangu ya msingi lakini sijaona wa kumpigia
 
kinachonishangaza mimi ni kuona jinsi wanasiasa wa Tanzania walivyokosa mwelekeo! Hili nalisema wazi kutokana na ukweli kwamba siasa ya kweli na mapinduzi ya kweli hayawezi kuletwa na utitiri wa vyama! kuanzishwa kwa hiki chama ni mwanzo kabisa wa kugawa wananchi katika makundi. Hebu tujiulize, nini kipi kipya CCJ itakuja nacho tofauti na hivi vyama tulivyonanyo ambavyo kwa kiwango kikubwa vipo pale kwa maslahi ya watu flanflani? Lets open our mind to think critically
 
Mimi nimeshasemakuna uwezekano mkubwa ni game ya CCM kuipunguza nguvu CHADEMA na ku-divert attention yao frm CHADEMA.COPE ya South Africa ilianza kwa Nguvu hiyo hiyo.

Pia hii game isije kuwa kama akina Kalonzo musyoka walivyocheza Game na kibaki ili kumpunguza Raila nguvu kisha wao wakaungana last minute! Let us wait and see,mbona hao jamaa kama kweli ni wapambanaji wa Ufisadi wasiungane na CHADEMA wanaopambana kwa vitendo?

Kama kweli hao 27 MPS wana nia ya kweli wangeungana na CHADEMA coz tayari CHADEMA wana mtandao nchinzima,pia according to CHADEMA's Ideology wanaweza kuwa na room ya kuungana na hawa CCJ.Hata hivyo ngoja tusubiri game!
 
ABDULWAKIL SAIBOKO,
25th January 2010

THE much-publicized new political party, Chama Cha Jamii (CCJ), is nothing but a mere hoax, the Registrar of Political Parties, Mr John Tendwa, said in Dar es Salaam yesterday.

"It is disgusting to see news in the media about a party which does not exist at all. Some people have gone to the extent of claiming that the party has been given temporary registration. This is not true. It is a hoax," he said.

Mr Tendwa said that the whole issue was being blown out of proportion by some politicians, for reasons better known to them.

"I am tired of talking about this
ghost party. In fact, even if it existed, there is nothing special that could make it unique or different from all the other registered parties. Why should it merit such publicity? Who are the party (CCJ) members anyway?

"We are drawing too much attention for nothing. Nothing at all," he said. There has been a series of news on the local media about the party, which has been claimed to have been backed by veteran politicians from the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM).

The suspected veteran politicians, however, have distanced themselves from it.

Unconfirmed reports had it that the party was registered early last week. The reports drew mixed reactions from a cross-section of people, including politicians.

CCM leaders said the new party did not pose any threat to the ruling party's existence. One tabloid went further to claim that the party (CCJ), would parade a presidential candidate to challenge President Jakaya Kikwete in the coming October general elections.

The man who identified himself as the chairman of CCJ, Mr Richard Kiyabo, was quoted as saying that the major target was to have a presidential candidate in this year's general elections and that the party had 2,000 members in Dar es Salaam so far.

However, Mr Tendwa said that even if the party had applied for registration, it still did not deserve such publicity. The Registrar said that normally registration of a new political party takes time before it can be allowed to operate.

"There are many applications for registration of new political parties, but these are still pending. They could be accorded provisional registration by March," he said. He fell short of saying whether legal action could be taken against the new party leaders.

Meanwhile, Mr Tendwa announced the revocation of the provisional registration of People's Democratic Movement (PDM), an opposition political party, for failure to meet legal obligations.

He said that the party, led by Mr Joseph Minja, has been revoked for failure to abide by Political Party's Act no. 5 of 1992, which demands that a party should have more than 200 members for each region from 20 regions.

Meanwhile, another political party, the Democratic National Congress (DNC), has been denied extension of provisional registration.

The same law states that provisional registration of a political party should not exceed 180 days. DNC was seeking extension for the third time which exceeds the deadline. The party was registered in 2008.

Source: Daily News January 26,2010
 
I really agreed with Mr Tendwa about this party. Ni kweli kabisa hakuna cha kushabikia juu ya chama ambacho hata tawi moja halipo.
 
SWALI LA MSINGI NI KIUWA HICHO CHAMA KIPO AMA HAKIPO KAMA ANAVYOSEMA TENDWA, SASA ILE KATIBA YA HICHO CHAMA CCJ Imetaka wapi?
 
Unajua analolifanya!! Katumwa huyo. Kwani sasa yeye ana tatizo gani na CCJ mpaka adai ni hoax??? Mi naona anjaribu kutuliza vumbi ambalo hajui lilikotokea. Akae chini asubiri kama sisi then wakati ukifika tutapata ukweli.
 
Hoax = an act intended to trick people into believing something is real when it is not

Kama msajili anasema hakuna chama ambacho wamekisajili chenye jina hilo, tumuamini nani?
 
SWALI LA MSINGI NI KIUWA HICHO CHAMA KIPO AMA HAKIPO KAMA ANAVYOSEMA TENDWA, SASA ILE KATIBA YA HICHO CHAMA CCJ Imetaka wapi?

Going through the various local media outlets, it transpires that this could be a veiled intiative of old CCM hands opposed to the JK regime trying to instigate change within the party (say, ditching of fisadis from the Party echelons) by the threat of an impending major split. How real this threat is has been left to imagination.

Now, come to think that some key party members would resort to such a desperate measure underscores the stranglehold CCM has on this country! 😡
 
Jamani naiomba CV ya hawa akina Kiyabo na huyo mwenzie Muhabi. Hawa background zao ni nini? Kwa nini wanapewa hadhi inayofanana na CCM wakati wao ni sisimizi tu?
 
Unajua analolifanya!! Katumwa huyo. Kwani sasa yeye ana tatizo gani na CCJ mpaka adai ni hoax??? Mi naona anjaribu kutuliza vumbi ambalo hajui lilikotokea. Akae chini asubiri kama sisi then wakati ukifika tutapata ukweli.

Alichosema Mh. Tendwa ni sahihi kabisa, vyama vingapi vimeanzishwa huko ?mbona kulikuwa hakuwa vumbi kama ili/ pia usajiri wa muda bado nyie mnasema tutasimamisha mtu kugombea nafasi ya juu kabisa ya nchi hii.wakati usajili wa muda unaweza tolwa mwezi March,kwahiyo bado hakijaanza kuoperate.pili wanawanachama 2,000 hapa Dar tu sheria ya mwaka 1992 inataka chama cha siasa kuwa na wananchama 200 kwa mikoa 20 ya tanzania.

kweli CCJ ni hoax.
 
"It is disgusting to see news in the media about a party which does not exist at all. Some people have gone to the extent of claiming that the party has been given temporary registration. This is not true. It is a hoax," he said.
Kheeeee heeee heee....Eeeh!
Waambie hao
 
hii politic watu hawajiamini hasa hawa CHAMA CHA KIJANI ndiyo confo zero. Mimi nafikiri tusubiri kwani kikisajiliwa lazima kitatangazwa na sote tutasikia. Wanatupotezea muda hawa.
 
ABDULWAKIL SAIBOKO,
25th January 2010

THE much-publicized new political party, Chama Cha Jamii (CCJ), is nothing but a mere hoax, the Registrar of Political Parties, Mr John Tendwa, said in Dar es Salaam yesterday.

"It is disgusting to see news in the media about a party which does not exist at all. Some people have gone to the extent of claiming that the party has been given temporary registration. This is not true. It is a hoax," he said.

Mr Tendwa said that the whole issue was being blown out of proportion by some politicians, for reasons better known to them.

Source: Daily News January 26,2010

Kutoka gazeti la Tanzania Daima 22 Jan 2010

"KITENDAWILI cha kuwapo kwa kundi moja la makada maarufu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuingia katika mchakato wa kuanzisha chama kipya cha siasa, kimeanza kuteguliwa baada ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kupokea maombi ya kusajiliwa kwa chama hicho, Tanzania Daima limebaini.

Maombi rasmi ya kutaka kusajiliwa kwa chama hicho kiitwacho Chama Cha Jamii kwa kifupi CCJ, yaliwasilishwa katika ofisi hizo Jumanne wiki hii.

Habari za uhakika ambazo gazeti hili limezipata kutoka miongoni mwa makada maarufu wa CCM ambao wanatajwa kuwa miongoni mwa wanachama wa siku za usoni wa chama hicho zilizothibitishwa pia na Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa zinasema waliowasilisha maombi hayo ni watu ambao majina yao hayajulikani kabisa katika medani ya siasa nchini."

Sasa tuamini lipi the same person is denying his own words ridiculous haya ndiyo matatizo ya wana siasa wetu kukataa walichosema awali.
 
hii politic watu hawajiamini hasa hawa CHAMA CHA KIJANI ndiyo confo zero. Mimi nafikiri tusubiri kwani kikisajiliwa lazima kitatangazwa na sote tutasikia. Wanatupotezea muda hawa.
Tendwa ni Chama cha kijani vile?
 
Ndo maana kuna mwana JF mmoja jana alileta thread kuhusu CCJ kwamba imeundwa ili kuuvuruga upinzani.

Hiyo thread siioni tena. Huenda kulikuwa na ukweli.

Lakini yetu macho na masikio.
Mara CCM mara CCJ mara SI SI JE.
 
Tendwa ni Chama cha kijani vile?

Put off the question mark, then u have the answer! Asilimia kubwa ya watu wenye umri wa zaidi ya miaka 40 lazima walikuwa wanachama wa TANU na baadae Chama cha Kijani, aidha kwa kupenda au kwa kutokuwa na choice. Ivi Tendwa na umri gani vile?
 
Back
Top Bottom