Chama Cha Wananchi CUF Kufutiliwa mbali

Chama Cha Wananchi CUF Kufutiliwa mbali

Wanabodi,

"Chama Cha Wananchi CUF, Kufutiliwa Mbali!... Iwapo Itathibitika Kinahusika/ Kitahusika na Vurugu, Ugaidi, Uvunjifu wa Amani Zanzibar na TZ!.

Nyingi ya theads humu ni threads kuhusu matukio yaliyotokea, lakini tuna threads chache sana kuhusu mambo yatakayokuja kutokea, hivyo hii ni thread ya mambo yatakakuja kutokea kutokana na kitu kinachoitwa "trend readings" na sio utabiri kama wa Sheikh Yahya (RIP) au Nostra Damas.

Trend ni inahusiana na usomaji wa historia ya kilichowahi kutokea nyuma, kulinganisha na kinachotokea sasa, ili kujua kitakachokuja kutokea huko tuendako.

Kichwa cha habai kimejieleza wazi kuwa Chama cha Wananchi CUF, kitafutwa rasmi (toka kwenye daftari la Msajili wa Vyama vya Siasa), kama itathibitishwa pasipo shaka,without any reasonable doubt, kuwa kinahusika, au kitahusika na matukio yoyote ta kihalifu, ya kigaidi au ya uvunjifu wa amani, Zanzibar, Pemba au eneo lolote la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa sababu kitakuwa kimepoteza sifa za kuitwa chama cha siasa kwa mujibu wa sheria ya Vyama vya Siasa ya Mwaka 1992! ambayo kisheria inajulikana kama The Political Partie Act of 1992 au Chapter 258.

Sheria hiyo imeweka sifa mbalimbali za chama cha siasa kinachoweza kusajiliwa, lakini pia imeweka sifa mbali za chama cha siasa ambacho hakiwezi kusajili, na miongoni mwa sifa ambazo chama cha siasa hakiwezi kusajiliwa, ni pamoja na kipengele hiki kwenye ibara ya 8, 2-c
"it accepts or advocates the use of force or violence as a means attaining its political objectives"

Ibara hii inamaanisha kama chama kiliishasajili, lakini baadae kikagundulika kina kiuka kipengele hicho, kinakuwa kimepoteza sifa hivyo kinastahili kufutwa kutoka kwenye daftarri la msajili.

Viongozi, wanachama, wafuasi, wapenzi na mashabiki wa CUF, msije kunirikia kuwa nawawangia au kuwachuria chama chenu kifutwe, bali nawapa tuu angalizo la matakwa ya kisheria, ikiwa na endapo itathibitishwa pasi shaka, "beyond reasonable doubts" kuwa CUF kama chama, kinahusika na kupanga, kuratibu na kutekeleza vitendo vyovyote vya kihalifu, vya kigaidi na vya kuvuruga amani na utulivu wa visiwa vya Zanzibar na Pemba ambazo ni sehemu za Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hii ni kufuatia CUF kususia kushiriki uchaguzi wa marudio, hivyo kimesusia na kupanga vurigu, uhalifu na ugaidi ili uchaguzi usifanyike, kama huo ndio mpango wenu, endeleeni na mipango hiyo, lakini huku mkijiandaa kufutwa rasmi!.

Ili ikikutikana wanaofanya vitendo hivyo ni wana CUF individually bila uhusika au uatibu wowote wa CUF kama chama, CUF kama chama, kitabaki salama, na hao wanachama, watashughulikiwa kama wahalifu wengine wowote kwa sababu uhalifu ni uhalifu tuu, hauna chama, hauna dini, hauna kabila, hauna rangi wala jinsia, uhalifu ni uhalifu tuu, na wahalifu wote ni watu wa kulaaniwa na sheria ichuke mkondo wake dhidi yao!.

Sheria zipo lakini hazitekelezwi, ila kufuatia JK kuwa dhaifu, na serikali yake kuwa dhaifu, kuliwapa wahalifu mawanda ya kutamba hadi kumchea simba sharubu na hakufanya lolote, hizi nyakati sasa zimebadilika, nyie mliozoea kuchezea sharubu za simba dhaifu, msijaribu kuchezea sharubu za huyu aliyepo, huyu sii yule mtu wa kucheka cheka na ngedee na kuyavuna mabua!, sasa nyakati zimebadilika, hili ni angalizo tuu nawapa, mlipokee au mlipuuzie, yakitokea ya kutokea, msilalamike kuwa hamkuambiwa!.

Naombeni msije kunisdhutumu kuwa ninachuki na CUF, maneno kama haya ninayowaeleza leo, pia niliwahi kuwaeleza wenzenu na washiika wenu Chadema, na pia niliwahi kuyatoa kwa chama dola CCM!.

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa ...
Tuhuma Hii: CHADEMA Kuendeshwa Kwa Katiba "Fake" Ikithibitishwa ...

Chonde Chonde Rais Kikwete: Msimamo wa CCM wa Serikali Mbili ndio ...
Tahadhari ya hatari: CCM Imepania Kufanya Kinyume cha Maumbile ...

Wasalaam.

Pasco wa jf!.

Mkuu, kumbe uko mbali kweli na siasa za Znz. Ukweli ni kwamba wazanzibari wameshavuuka hio hatua/stage ya kutafuta nchi kupitia vyama. Uchaguzi wa mwaka jana October 25 umetusaidia kutufumbua macho kwamba kumbe hatuwezi kuipata nchi yetu kupitia chama(uchaguzi), kwa hio chama tunakithamini na kukienzi kwa sababu kimetufanyia mengi ya muhimu. kwa sasa hatuko tena kwenye stage ya chama kwa kuwa tumeshajua kwamba haitusaidii. Sasa kufuta au kutokufuta chama ni sawa na mtu kutoa upepo wa gesi (kujamba)kumradhi wana ukumbi kwwenye mdundiko. Haitawasaidia ila ndio itazidi kutiribuwa mambo kwa kuwa itakuwa ni kama viumbe wasio na wachunga!!!
kazi kwenu.
 
na wewe utaendelea kuwa mpuuzi kwa kutojitambua
Kiko wapi kisiwa cha amani? Iko wapi amani mnoihubiri kila uchwao wapuuzi wakubwa ninyi? Mmekuwa wanafiki hata mmepitiliza, mmekuwa washenzi wa Tabia, mmelewa madaraka nakujiona miungu watu wanaharam ninyi
 
Wanabodi,

"Chama Cha Wananchi CUF, Kufutiliwa Mbali!... Iwapo Itathibitika Kinahusika/ Kitahusika na Vurugu, Ugaidi, Uvunjifu wa Amani Zanzibar na TZ!.

Nyingi ya theads humu ni threads kuhusu matukio yaliyotokea, lakini tuna threads chache sana kuhusu mambo yatakayokuja kutokea, hivyo hii ni thread ya mambo yatakakuja kutokea kutokana na kitu kinachoitwa "trend readings" na sio utabiri kama wa Sheikh Yahya (RIP) au Nostra Damas.

Trend ni inahusiana na usomaji wa historia ya kilichowahi kutokea nyuma, kulinganisha na kinachotokea sasa, ili kujua kitakachokuja kutokea huko tuendako.

Kichwa cha habai kimejieleza wazi kuwa Chama cha Wananchi CUF, kitafutwa rasmi (toka kwenye daftari la Msajili wa Vyama vya Siasa), kama itathibitishwa pasipo shaka,without any reasonable doubt, kuwa kinahusika, au kitahusika na matukio yoyote ta kihalifu, ya kigaidi au ya uvunjifu wa amani, Zanzibar, Pemba au eneo lolote la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa sababu kitakuwa kimepoteza sifa za kuitwa chama cha siasa kwa mujibu wa sheria ya Vyama vya Siasa ya Mwaka 1992! ambayo kisheria inajulikana kama The Political Partie Act of 1992 au Chapter 258.

Sheria hiyo imeweka sifa mbalimbali za chama cha siasa kinachoweza kusajiliwa, lakini pia imeweka sifa mbali za chama cha siasa ambacho hakiwezi kusajili, na miongoni mwa sifa ambazo chama cha siasa hakiwezi kusajiliwa, ni pamoja na kipengele hiki kwenye ibara ya 8, 2-c
"it accepts or advocates the use of force or violence as a means attaining its political objectives"

Ibara hii inamaanisha kama chama kiliishasajili, lakini baadae kikagundulika kina kiuka kipengele hicho, kinakuwa kimepoteza sifa hivyo kinastahili kufutwa kutoka kwenye daftarri la msajili.

Viongozi, wanachama, wafuasi, wapenzi na mashabiki wa CUF, msije kunirikia kuwa nawawangia au kuwachuria chama chenu kifutwe, bali nawapa tuu angalizo la matakwa ya kisheria, ikiwa na endapo itathibitishwa pasi shaka, "beyond reasonable doubts" kuwa CUF kama chama, kinahusika na kupanga, kuratibu na kutekeleza vitendo vyovyote vya kihalifu, vya kigaidi na vya kuvuruga amani na utulivu wa visiwa vya Zanzibar na Pemba ambazo ni sehemu za Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hii ni kufuatia CUF kususia kushiriki uchaguzi wa marudio, hivyo kimesusia na kupanga vurigu, uhalifu na ugaidi ili uchaguzi usifanyike, kama huo ndio mpango wenu, endeleeni na mipango hiyo, lakini huku mkijiandaa kufutwa rasmi!.

Ili ikikutikana wanaofanya vitendo hivyo ni wana CUF individually bila uhusika au uatibu wowote wa CUF kama chama, CUF kama chama, kitabaki salama, na hao wanachama, watashughulikiwa kama wahalifu wengine wowote kwa sababu uhalifu ni uhalifu tuu, hauna chama, hauna dini, hauna kabila, hauna rangi wala jinsia, uhalifu ni uhalifu tuu, na wahalifu wote ni watu wa kulaaniwa na sheria ichuke mkondo wake dhidi yao!.

Sheria zipo lakini hazitekelezwi, ila kufuatia JK kuwa dhaifu, na serikali yake kuwa dhaifu, kuliwapa wahalifu mawanda ya kutamba hadi kumchea simba sharubu na hakufanya lolote, hizi nyakati sasa zimebadilika, nyie mliozoea kuchezea sharubu za simba dhaifu, msijaribu kuchezea sharubu za huyu aliyepo, huyu sii yule mtu wa kucheka cheka na ngedee na kuyavuna mabua!, sasa nyakati zimebadilika, hili ni angalizo tuu nawapa, mlipokee au mlipuuzie, yakitokea ya kutokea, msilalamike kuwa hamkuambiwa!.

Naombeni msije kunisdhutumu kuwa ninachuki na CUF, maneno kama haya ninayowaeleza leo, pia niliwahi kuwaeleza wenzenu na washiika wenu Chadema, na pia niliwahi kuyatoa kwa chama dola CCM!.

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa ...
Tuhuma Hii: CHADEMA Kuendeshwa Kwa Katiba "Fake" Ikithibitishwa ...

Chonde Chonde Rais Kikwete: Msimamo wa CCM wa Serikali Mbili ndio ...
Tahadhari ya hatari: CCM Imepania Kufanya Kinyume cha Maumbile ...

Wasalaam.

Pasco wa jf!.

wewe ni bendera fuata upepo mara umetumwa uje uandike hivi mara hivi hizi poroja kwa sasa hazina nafasi tena, saiv ni mapambano
 
Wapuuzi kama haw ndo wa kukamatwa ili kusaidia polisi.

Kama kuna mpumbavu yeyote huko serikalini anayedhani kuifuta CUF ndiyo suruhisho la mgogoro wa Zanzibar,nasema bila kumung'unya maneno,mtu huyo atakuwa ni mpumbavu aliyeparaganyika akili na asiye na maono wala utashi.

Chama ni "platform" ya kuwasilisha mawazo ya wananchi,kukifuta chama cha siasa si muarobaini wa kuiponya mioyo ya wananchi waliochoshwa na utawala dharimu wa mahayawani wa CCM na vyombo vyake.

Ndiyo,wanaweza kuvifuta vyama vyote na kubaki na "dubwana" lao liitwalo "FISIEMU", lakini kamwe hawatoweza kuzifuta fikra za Watanzania.Wanaweza kuchakachua vyote,na kupora haki zote za kisiasa,lakini hawana mamlaka na wala hawataweza kuzigusa dhamiri za Umma wa Watanzania waliowakataa kwenye sanduku la kura lakini wakabaki madarakani kwa msaada wa " maderaya ya kivita"na rushwa.

Wapumbavu wote walioko huko serikalini wanajua fika,na dhamiri zao zinawashuhudia kuwa hawapo hapo walipo eti kwa kuwa walichaguliwa,bali wapo hapo kutokana na hila walizozifanya ili kuipora haki ya kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa.

Kipindi cha uchaguzi mkuu nilikuwa kanda ya Ziwa(Kahama),nilishuhudia kwa macho yangu namna "rafu" zilivyochezwa chini ya usimamizi wa mstaafu mmoja toka Ikulu(anajijuwa na kamwe hawezi kubisha).Aliratibu kila hila chafu ili kuzuia ushindi wa UKAWA kanda ya Ziwa.Pamoja na hila alizozifanya na kuiwezesha CCM kubaki madarakani,lakini Ukweli bado umesimama kuwa Kanda ya Ziwa hawakuichagua ccm,bali wamelazimishwa kuwa chini ya CCM.

Binafsi sihitaji chama wala mtu yeyote anishawishi /anieleze madhira yaliyoletwa na serikali ya ccm kwa Taifa letu.Hivyo hata wavifute vyama vyote,sitarudi nyuma na kujiunga na chama kilichotufikisha hapa tulipo.

Mkituzuia kuipinga ccm kupitia jukwaa la Chama Cha Wananchi- CUF,tutaendelea kuipinga ccm mioyoni mwetu na hapo ndipo mtakapojuwa ni kwa kiasi gani tumechoshwa na ukiritimba wa chama dora.

Ni kichekesho kukifuta chama kwenye daftari la msajili,wakati wao wanapanga kukifuta CUF katika daftari la msajili,sisi tumeifuta ccm mioyoni mwetu,hakuna anayejali tena.Nikimuona yeyote anayejiita kiongozi wa serikali sasa hivi namuona kama "kikaragosi tu". Ndiyo wote ni vikaragosi.Haiwezekani kiongozi mwenye dhamana ya kuilinda na kuitetea katiba ya nchi,abariki uporwaji wa demokrasia huku akitisha watu wasidai haki zao eti wakileta fyokofyoko atawauwa,tuuweni wote mtawale mawe pumbavu zenu,neno " upumbavu" nimeliazima toka kwa aliyekuwa kiongozi wa wapumbavu - Mkapa,hivyo kama sisi ni wapumbavu naye ni mpumbavu kwani alipewa ridhaa kikatiba kuongoza wapumbavu wenzake.
 
Wanabodi,

"Chama Cha Wananchi CUF, Kufutiliwa Mbali!... Iwapo Itathibitika Kinahusika/ Kitahusika na Vurugu, Ugaidi, Uvunjifu wa Amani Zanzibar na TZ!.

Nyingi ya theads humu ni threads kuhusu matukio yaliyotokea, lakini tuna threads chache sana kuhusu mambo yatakayokuja kutokea, hivyo hii ni thread ya mambo yatakakuja kutokea kutokana na kitu kinachoitwa "trend readings" na sio utabiri kama wa Sheikh Yahya (RIP) au Nostra Damas.

Trend ni inahusiana na usomaji wa historia ya kilichowahi kutokea nyuma, kulinganisha na kinachotokea sasa, ili kujua kitakachokuja kutokea huko tuendako.

Kichwa cha habai kimejieleza wazi kuwa Chama cha Wananchi CUF, kitafutwa rasmi (toka kwenye daftari la Msajili wa Vyama vya Siasa), kama itathibitishwa pasipo shaka,without any reasonable doubt, kuwa kinahusika, au kitahusika na matukio yoyote ta kihalifu, ya kigaidi au ya uvunjifu wa amani, Zanzibar, Pemba au eneo lolote la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa sababu kitakuwa kimepoteza sifa za kuitwa chama cha siasa kwa mujibu wa sheria ya Vyama vya Siasa ya Mwaka 1992! ambayo kisheria inajulikana kama The Political Partie Act of 1992 au Chapter 258.

Sheria hiyo imeweka sifa mbalimbali za chama cha siasa kinachoweza kusajiliwa, lakini pia imeweka sifa mbali za chama cha siasa ambacho hakiwezi kusajili, na miongoni mwa sifa ambazo chama cha siasa hakiwezi kusajiliwa, ni pamoja na kipengele hiki kwenye ibara ya 8, 2-c
"it accepts or advocates the use of force or violence as a means attaining its political objectives"

Ibara hii inamaanisha kama chama kiliishasajili, lakini baadae kikagundulika kina kiuka kipengele hicho, kinakuwa kimepoteza sifa hivyo kinastahili kufutwa kutoka kwenye daftarri la msajili.

Viongozi, wanachama, wafuasi, wapenzi na mashabiki wa CUF, msije kunirikia kuwa nawawangia au kuwachuria chama chenu kifutwe, bali nawapa tuu angalizo la matakwa ya kisheria, ikiwa na endapo itathibitishwa pasi shaka, "beyond reasonable doubts" kuwa CUF kama chama, kinahusika na kupanga, kuratibu na kutekeleza vitendo vyovyote vya kihalifu, vya kigaidi na vya kuvuruga amani na utulivu wa visiwa vya Zanzibar na Pemba ambazo ni sehemu za Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hii ni kufuatia CUF kususia kushiriki uchaguzi wa marudio, hivyo kimesusia na kupanga vurigu, uhalifu na ugaidi ili uchaguzi usifanyike, kama huo ndio mpango wenu, endeleeni na mipango hiyo, lakini huku mkijiandaa kufutwa rasmi!.

Ili ikikutikana wanaofanya vitendo hivyo ni wana CUF individually bila uhusika au uatibu wowote wa CUF kama chama, CUF kama chama, kitabaki salama, na hao wanachama, watashughulikiwa kama wahalifu wengine wowote kwa sababu uhalifu ni uhalifu tuu, hauna chama, hauna dini, hauna kabila, hauna rangi wala jinsia, uhalifu ni uhalifu tuu, na wahalifu wote ni watu wa kulaaniwa na sheria ichuke mkondo wake dhidi yao!.

Sheria zipo lakini hazitekelezwi, ila kufuatia JK kuwa dhaifu, na serikali yake kuwa dhaifu, kuliwapa wahalifu mawanda ya kutamba hadi kumchea simba sharubu na hakufanya lolote, hizi nyakati sasa zimebadilika, nyie mliozoea kuchezea sharubu za simba dhaifu, msijaribu kuchezea sharubu za huyu aliyepo, huyu sii yule mtu wa kucheka cheka na ngedee na kuyavuna mabua!, sasa nyakati zimebadilika, hili ni angalizo tuu nawapa, mlipokee au mlipuuzie, yakitokea ya kutokea, msilalamike kuwa hamkuambiwa!.

Naombeni msije kunisdhutumu kuwa ninachuki na CUF, maneno kama haya ninayowaeleza leo, pia niliwahi kuwaeleza wenzenu na washiika wenu Chadema, na pia niliwahi kuyatoa kwa chama dola CCM!.

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa ...
Tuhuma Hii: CHADEMA Kuendeshwa Kwa Katiba "Fake" Ikithibitishwa ...

Chonde Chonde Rais Kikwete: Msimamo wa CCM wa Serikali Mbili ndio ...
Tahadhari ya hatari: CCM Imepania Kufanya Kinyume cha Maumbile ...

Wasalaam.

Pasco wa jf!.
Pasco,
Huwezi kuijua leo yako ikiwa huijui jana yako.
CUF haina historia hiyo.

Kwa muda mrefu CUF imewekeza sana katika elimu ya vijana na kujenga
mtambo ndani ya chama ambao utaweza kushinda uchaguzi wowote dhidi
ya CCM.

Hii ndiyo iliyofikisha CUF hapa tulipo hivi sasa.

CUF imeweza kushinda kila uchaguzi Zanzibar juu ya vikwazo vyote dhidi
yake.

Historia ya ASP hadi kufikia CCM Zanzibar inafahamika na kwa kukusaidia
ili uijue vyema nakuwekea hapa chini darsa dogo:
  1. Mohamed Said: KABLA YA MAZOMBIE KULIKUWA NA AKINA KAUJORE: MWANAMAPINDUZI ALIYEUA WATU MSIKITINI
  2. Mohamed Said: AMAN THANI ANAMWELEZA MANDERA NA MATESO YA KUNG'OA KUCHA 9
  3. Mohamed Said: MASULTANI WALIPATAPO KUUA, KUWEKA JELA ZA MATESO NA KUFANYA DHULMA NYINGINEZO DHIDI YA WAZANZIBARI?
  4. Mohamed Said: PEMBA: THE FIRE NEXT TIME
Pasco,
Hiyo hapo juu ndiyo historia ya Zanzibar.
Hakuna asiyeifahamu na ningeweza kukuwekea mengi ila naogopa kukuchosha.

Nakuuliza unadhani ikiwa hali ndiyo hiyo ni nani wa kufungwa kamba asiumize jamii?
Chama kipi kinastahili kufutwa ili jamii isalimike?

Kwa kumalizia nakuomba fungua uzi makhsusi kuhusu ugaidi.
Nakuwekea hapa chini mada kuhusu ugaidi ikufikirishe:
Mohamed Said: ISLAM, TERRORISM AND AFRICAN DEVELOPMENT
 
Sasahv nimepata habar CUF wakifanya kikao usiku huuu…!! wametawanya na police kwa mabomu
 
Ila.kasema musimchukie ila katoa angalizo tu kama kinahusika ila kama hakihusiki basi kheri…!! Hivo ni maoni yake kama raia wa tz
 
Ccm znz ndo inajifuta imeleta wagalatia kuhiki waislam...hio ndo nukta muhimu...wazanzibari wanavo angalia huu mgogoro
 
Kwa thread za kijinga kama hizi,hatuna wasomi bali mazombi.
Kwa nini unahusisha CUF na sio CCM? Au kwa sababu wewe ni gamba lililomshinda hata Kigunge ?
 
CAF ikifutwa,hao wanachama wa cuf watakuwa automatically ccm?Hapo ccm itazidi kuchukiwa na kuonekana kama kisababishi cha madhila yote yatakayo tokana na uchaguzi unaoenda kufanyika.CCM inaenda kuandika historia kupitia Zanziba
 
Yupo mpuuzi mmoja kipindi cha kampeni alikwenda makao makuu ya jeshi la polisi akadai anao ushahidi kuwa Chacha Wangwe aliuawa na "chadema",

Inteligence ikamuhoji ulikuwepo, akasema ndio, akaulizwa miaka yote ulikuwa wapi akakosa jibu.

Akaambiwa kwakuwa unaonekana akili yako haipo sawa kapumzike sero, baada ya siku moja tu akajisema ooh mie nilitumwa niwaharibie tu mara oooh sijui nini....

Akala virungu na kuachiwa.. Mpaka leo hana hamu na kutumiwa na wanasiasa. Sijui kama alikwenda kuwasimulia waliomtuma.

Pasco
 
Pasco siku moja kabla ya Makonda kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar ulikuja na uzi wako kwamba Makonda ni kijana tofauti na ulivyokua ukimjua Kesho yake tukasikia kateuliwa kuwa mkuu wa mkoa ,Leo unakuja na habari za Cuf kufutwa kisa sijui unaangalia trend readings kana kwamba tatizo la Zanzibar ni Cuf ,wewe sema umepenyezewa taarifa ili ikitokea la kutokea uje humu kuanza kusema niliwaambia
 
Tuongee ukweli ccm mnawatesa sana wenzenu.muigopeni mungu.matokeo mmefuta.kipigo mnawapa.na,bhado mnataka kuwafuta.sio fair kabisa.
 
Back
Top Bottom