Chama cha conservative cha Cameroon na CHADEMA

Hii hoja haina nguvu kujadiliwa maana hata kama mkikataa kwamba hamna ndoa ya jinsia moja ukweli ni kwamba hao watu wapo hapa kwetu Tanzania. Kwa hiyo ni swala la mda tu. Hii haiwezi kuvunja mahusiano ya kisiasa baina ya vyama hivo. Politics is always a dirty game. Viogozi wetu wa Africa wanapokea pesa chafu sana ambayo haina tofouti na hii ya mashoga. Fuatilia world politics utajua undani wake. Very dirty, people are dying everywhere just because of this politics.

I like your views, it is true that watu wanakufa na wengine wanatolewa kafara za kuwa wehu na hata kufungiwa katika chumba kimoja bila ya kuliona jua kwa miaka kadhaa mpaka Mheshimiwa atakapo maliza muda wa utawala, lakini pia mbona kipindi cha Bunge mashoga/******* huwa wengi Dodoma? Je wanafuata nini? Na baada ya Bunge kuisha wanahamia Dar es Salaam ndo kusema wanawafuata wateja wao?

Jamani chunguzeni jambo hili sio bule kuna kitu!
 
we ulieleta mada hii ni shoga vile vile

Jamani aliyeleta mada sio SHOGA ila ANATIWA / ANAKATWA / ANAKAZWA / ANACHORESHWA SABA / WANAMSEA tu kwa ajili ya kutafutia riziki!!!!!!!!! Teh! teh! teh!teh! teh! nnnnnnnnoooooo!!!!!!!!!! yebooooo!!!
 
sasa kwa hili ndiyo mtajua haya mataifa ya ulaya hasa Uingeleza yana nguvu gani.
 
Urafiki wa CDM na Conservative ni wa muda mrefu na unadumu, tunaanza kupata wasiwasi sasa hata viongozi wa cdm waweza kuwa ni m*****a ndio maana wanapatana nao. na huyu mama Nkya anajulikana sana ni mnafiki na mtu ambae si wa kuaminika. Hata ndoa kwanza hana iliisha vunjika siku nyingi unategemea nn sasa kutoka kwa mtu huyu

Mbona husemi ya mwenyekiti wenu kuhongwa suti na mwarabu? Wacheni hizo nyie vibaraka wa mafisadi.
 
Wanabodi.

Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..

Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.

Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..

Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..

Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..

Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea
 
mods tafadhali ondoa hii post, kuna mtu amerudisha tana. Please mods delete this post, has no credibility.
 
Mbona hata kwenye Mou ya Mkataba wa Conservative na Chadema wamesaini makubaliano ya kulinda haki za binadamu ikiwemo kutambua ushoga! Chadema hawana usemi juu ya hili lazima wakae kimya!
 
mods tafadhali ondoa hii post, kuna mtu amerudisha tana. Please mods delete this post, has no credibility.

Acha ujinga wa kumsumbua mod sio mjomba wako huyo hadi umwambie afute thread inayo ongea ukweli,Hebu ni kuulize hivi Chadema na Conservative sio marafiki? Kama rafiki yako ni shoga na anatetea ushoga lazima utoe msimamo wako! Chadema msikae kimya kwa hili,je ulizeni urafiki wenu na hao Conservative ni katika kujifunza nini?
 
Jamani sasa tutaogopa kuwapa kura 2015. Si ndio mtahalalisha USHOGA tz? CCM tulukwisha delete lakini sasa inabidi tuanze kufikiri kuwapa kura shauri ya kuogopa uhalalishwaji wa Masaburi.
 
kwa kuwa CDM ni chama cha watu makini hawatashindwa kujibu hili
 
sasa mkuu katika maelezo yako umetoa anaysis anayojitosheleza kuwa hao ndio wafadhili wetu,sasa unataka msimamo upi tena?au ni kuchokonoa tu watu.
 
Wanabodi.

Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..

Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.

Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..

Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..

Cameroun ni PM hakutoa kauli ya chama bali ni ya serikali, hata angekuwa wa chama kingine angesema hivyo kwa kuwa ni sheria ya nchi.

Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..

Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea

Cameroun ni PM alitoa kauli ya serikali na siyo chama. Kama sheria hiyo ipo katika katiba yao hata angekuwa wa chama kingine angesema hivyo kukidhi matakwa ya nchi yao.
 
Hoja hii nzito..inahitaji maelezo ya kina....na si kukulupuka tu?...wahusika jipangeni..kisha mje kutujibu...ili tuwe na hoja ..tukiulizwa huko kwenye mijadala mingine....tujue cha kujibu...nategemea kupata jibu
 
Cameroun ni PM alitoa kauli ya serikali na siyo chama. Kama sheria hiyo ipo katika katiba yao hata angekuwa wa chama kingine angesema hivyo kukidhi matakwa ya nchi yao.
Majibu ya akili sana, ila kama ni punguani hatakuelewa.
 
Wanabodi.

Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..

Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.

Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..

Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..

Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..

Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea

Chadema ni chama tu sio dola (Nchi). Tanzania (nchi-CCM ) ndio inatakiwa kutoa tamko. Ulimsikia Jana Membe?. Unataka nini tena au una lako jambo.
 
huu ni ujinga ule ule wa mjinga yule yule
 
Cameroun ni PM alitoa kauli ya serikali na siyo chama. Kama sheria hiyo ipo katika katiba yao hata angekuwa wa chama kingine angesema hivyo kukidhi matakwa ya nchi yao.
Mbaya Zaid, Serkali yenu ya CCM chini ya Mkwe.re na Membe Juzi juzi tu walikuwa wanalilia warejeshewe Fedha za Rada na hao hao Mnao waponda, Plus Misaada kibao na sehemu ya Budget kutoka Serikali hiyo hiyo ya David Cameroon, Kabla CHADEMA hawajaja hapa kuto aufanunuzi, Waite Waume zako CCM waje watoe maelezo ni kwanini mpaka sasa wanaomba misaada kutoka serikali inayotambua mashoga hadi kufikia kuletwa Balozi shoga na still bado Mwabwana zako wataendelea kwenda kulia Njaa huko, then CHADEMA ndo watakuja kutoa tamko.
 
Hili la ushoga ni cheap political agenda furthered by ****** like membe. Kwanza kajichangaja eti halikuwa limezungumzwa ktk minisiterial levels mara kulikuwa na juhudi za Cameroon kulipenyeza, what's the fuss?

Take it or leave it, PERIOD.

Sawa hapa nyumbani hii ni desturi mpya na of coz mbaya, nakubali. Lakini ukitembea nchi za wenzetu huo kwao ndo utamaduni wao, so what? Twende kwenye hoja za msingi sio cheap and baseless grandios......things like:
- Kwa nini Tz ni maskini licha ya rasimali zote tulizonazo
- Kwa nini Utawala bora ni hadithi tuu, ndio chanzo cha ufisadi, uzembe na kukithiri kwa rushwa
- Iko wapi Katiba Mpya ambayo inatokana na wananchi na yenye kumilikiwa nao?
- Kwa nini vilaza kama Membe, Ngeleja nk ni mawaziri mpaka leo?
- Kwa nini hakuna la maana la kuijuvnia ktk miaka 50 ya uhuru?
nk, nk

Mods: plz do justice by purge this thread.
 
Wanabodi.

Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..

Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.

Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..

Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..

Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..

Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea

Hiyo kauli ya kutaka nchi zinazoomba misaada UK zitambue haki za mashoga niya serikali ya Uingereza na siyo ya chama cha Conservative, hivyo anayepaswa kutoa msimamo ni Rais wa Tanzania ambaye tayari ameshafanya hivyo.Sasa Chadema inaingiaje hapa? Kwa vile mwenyekiti wenu alihongwa suti na mwarabu tuchukulie kuwa ndiyo msimamo wa chama chenu wanaume kuhongwa suti na wanaume wa kiarabu?
 
Back
Top Bottom