Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,030
- 111,618
Ipo hivyo kweli auZamani walikuwa wanaandika lima miti ikutunze uzeeni. Naamini hawakujua kuwa gharama za kutunza miti hazilingani na mapato
Ipo hivyo kweli auZamani walikuwa wanaandika lima miti ikutunze uzeeni. Naamini hawakujua kuwa gharama za kutunza miti hazilingani na mapato
Mkuu we acha tu! Ukulima si mchezoIpo hivyo kweli au
Hesabu sio sahihi.30 yrs ago ungeweka hiyo pesa ya kulima miti UTT mda huu ungekuwa unapanga route za ndege yaani ungekuwa full booked kwenda kula pension yako🤗🤗🤗
Tuseme uliwekeza 15,000,000/ tu huko shambani kwako kwa hesabu za UTT calculator kwa lowest intrest rate ya 12% ungekuwa umezalisha 434,398,831.81 ukijumlisha na hiyo million 15 unapata 449,398,831.81 hii hela unaipata wewe bila kufanya chochote ndani ya hiyo miaka 30.
#Tukutana 2040 panapo majaliwa tutakuwa tunashift fights tu leo Amstardam kesho Paris keshokutwa Cape town mtondogoo Dubai.Ni humu tu🤫🤫🤫
mtu msomi na muelewa anakosoa kwa kuweka kitu sahihi acha upoyoyo na uzuzu..Hesabu sio sahihi.
NitajaribuMkuu we acha tu! Ukulima si mchezo
Find a broker (I can help with that) then fungua CDS account. Calendar ya govt bond inapatikana kwenye website ya BoT. All the best mkuu. You are on the right path and I am sure you will definetely winHapo sawa ngoja niifatilie hii nikaweka huko hata kamillion 20 katanifaa uzeeni.
Naomba link ya hiyo Government bond na wapi hasa ofisi zao zipo niende for more information.🤝
Ni kweli kuna aina nyingi za uwekezaji ila tambua kiuchumi kila aina ina risk zake.
Umeshafikiria risk za kumiliki pori la miti😀
Kwa mfano mm ni mtumishi ,unanishaur nijiunge n mfuko gani nipate faid kidgkdgo japo ntkuw naivest kdgkdgo baad y kupta mshaharIkiwa umehamasika sana na unapesa hapo na kuna jini a.k.a kimada a.k.a mchepuko unataka mkaspend hilo jasho lako.Nakushauri sitisha hilo wazo.
Chakufanya ingia play store andikia UTT AMIS download hiyo app kisha install.
Piga *150*82# jiunge na mfuko wa UKWASI na utaweza kufungua account UTT hapo utaokoa hiyo pesa isiliwe na huyo jini.
Mnaongelea nominal interest wakati kuna inflation boss.ndio ila intrest za benki hazivuki 9% wakati ya UTT ni 12% mpaka 15%.Mtu aliyewekeza UTT bado anafaida zaidi kuliko aliyewekeza benki.
Mimi nimeamua kuendeleza eneo aliloliacha baba. Kila mwezi nanunua mbuzi mmoja jike nataka nione baada ya miaka mitano nitkua na mbuzi wangapiWadau wa maendeleo hasa wanaume tukutane hapa kutekeleza hii challenge.
Mimi nimeanza kwa kutoa pesa zote benki na kupeleka UTT UKWASI FUND na BOND FUND nimeweka huko.Panapo majaaliwa tukutane at 40.Life starts at 40.
Baada ya comulative interest za miaka kama 15 hivi.Ntakuwa na uwezo wa kutimiza ndoto zangu za kwenda kuizunguka Dunia.Mimi ni mpenzi wa adventure.
Pia kila mwisho wa mwezi nimejiwekea ka utaratibu ka kutupia vilaki kadha huko UTT.
Pia kwa umri huo ntakuwa naitwa Daddy😀😀😀hapo chacha ni mwendo wa kula na kunywa.Na kwa kiasi fulani ntawaachia wanangu kaurithi na wenyewe waendeleze nilipoishia.
Wakulungwa karibuni kwenye Challenge!!!!
#M.O.B NIGGERS!!!
Hivi humu kweli kun magreat thinker au huwa mnajikweza tu.Wee Mbona ujaongelea risk za iyo utt
Jiunge na LIQUID BOND au jina lingine UKWASI BOND.Kwa mfano mm ni mtumishi ,unanishaur nijiunge n mfuko gani nipate faid kidgkdgo japo ntkuw naivest kdgkdgo baad y kupta mshahar
Ndio maana kuna post nimeandika kila uwekezaji una RISK ZAKE!!!Mnaongelea nominal interest wakati kuna inflation boss.
Real gaining sio 15% ila ni 15 - 4 = 11%
Kwasababu
Real Interest = Nominal Interest - Inflation.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kweli upo sahihi kama mazingira yako ynakuruhusu huo nao ni uwekezaji.Mimi nimeamua kuendeleza eneo aliloliacha baba. Kila mwezi nanunua mbuzi mmoja jike nataka nione baada ya miaka mitano nitkua na mbuzi wangapi


watu tupo tunachungulia tu daily maximization of kibunda pale mjini UTT 

"Figo mpya.." kwa tungi nimekuelewa ChiefKupanga ni kuchagua ila nakushauri kama kweli unapiga tungi daily😀😀😀 kuna mfuko wa UTT unaitwa wekeza maisha hapo wanatoa na bima ya maisha.Ikikupendeza weka akiba humo huwenda muda unahitaji FIGO MPYA hiyo pesa itakusavu🤝