30 yrs ago ungeweka hiyo pesa ya kulima miti UTT mda huu ungekuwa unapanga route za ndege yaani ungekuwa full booked kwenda kula pension yako🤗🤗🤗
Tuseme uliwekeza 15,000,000/ tu huko shambani kwako kwa hesabu za UTT calculator kwa lowest intrest rate ya 12% ungekuwa umezalisha 434,398,831.81 ukijumlisha na hiyo million 15 unapata 449,398,831.81 hii hela unaipata wewe bila kufanya chochote ndani ya hiyo miaka 30.
#Tukutana 2040 panapo majaliwa tutakuwa tunashift fights tu leo Amstardam kesho Paris keshokutwa Cape town mtondogoo Dubai.Ni humu tu🤫🤫🤫