Wadau wa maendeleo hasa wanaume tukutane hapa kutekeleza hii challenge.
Mimi nimeanza kwa kutoa pesa zote benki na kupeleka UTT UKWASI FUND na BOND FUND nimeweka huko.Panapo majaaliwa tukutane at 40.Life starts at 40.
Baada ya comulative interest za miaka kama 15 hivi.Ntakuwa na uwezo wa kutimiza ndoto zangu za kwenda kuizunguka Dunia.Mimi ni mpenzi wa adventure.
Pia kila mwisho wa mwezi nimejiwekea ka utaratibu ka kutupia vilaki kadha huko UTT.
Pia kwa umri huo ntakuwa naitwa Daddy😀😀😀hapo chacha ni mwendo wa kula na kunywa.Na kwa kiasi fulani ntawaachia wanangu kaurithi na wenyewe waendeleze nilipoishia.
Wakulungwa karibuni kwenye Challenge!!!!
#M.O.B NIGGERS!!!