Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 838
- 1,248
UTT wana matawi mikoani?
ndio,UTT wana matawi mikoani?
Mhmmmmm nazipenda figo zangu ujue😁😁😁Nilijua unawachanganya watesi , piga vitu😂😂😂
utapewa mwili mpya wa kwetu🤣Mhmmmmm nazipenda figo zangu ujue😁😁😁
Natumia pombe kidogo sana ,wa kwetu , tena mara moja moja sana 😅utapewa mwili mpya wa kwetu🤣
Nenda UTT,wewe si upo hapo kariakoo unamuda wa kwenda kwa michepuko unakosaje muda wa kwenda posta.Jazba ya Nini mkuu?
Kwanini usiJibu nilichokuuliza?
Sawa, 🙌🙌usije kurosti maini bureNatumia pombe kidogo sana ,wa kwetu , tena mara moja moja sana 😅
Kabisa wa kwetu, upo moshi bado?Sawa, 🙌🙌usije kurosti maini bure
NdioKabisa wa kwetu, upo moshi bado?
Unapenda moshi na wewe😁Ndio
😂😂Mtu kwao , waswahili husema hvyoUnapenda moshi na wewe😁
Nyie mkatongozane huko DM humu tunataka madini ya PESA.Unapenda moshi na wewe😁
Wewe mfate mwenzako DM mkapige soga zenu huko, huu uzi kuna watu wanasoma comment after comment msiwachoshe na mitongozo yenu.😂😂Mtu kwao , waswahili husema hvyo
Usijali mkuu ,tuna changamsha tu uzi 😁Nyie mkatongozane huko DM humu tunataka madini ya PESA.
Wewe hulalagi upo active sana😀😀😀Usijali mkuu ,tuna changamsha tu uzi 😁
una hasira sana sijui shida ni nini?Wewe mfate mwenzako DM mkapige soga zenu huko, huu uzi kuna watu wanasoma comment after comment msiwachoshe na mitongozo yenu.
Dah!PESA ipo hapa mkuu imezaliwa mikononi mwetu ,tushaitega zamaniiNyie mkatongozane huko DM humu tunataka madini ya PESA.
Pesa haitaki mtu anayechekacheka hovyo utavuna mabua.una hasira sana sijui shida ni nini?
Jf ndio jamii ninayo weza piga nayo stories kwa ukaribu zaidi bwasheeWewe hulalagi upo active sana😀😀😀