Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,115
- 3,811
- Thread starter
- #41
30 yrs ago ungeweka hiyo pesa ya kulima miti UTT mda huu ungekuwa unapanga route za ndege yaani ungekuwa full booked kwenda kula pension yako🤗🤗🤗Nililimamiti 30 yrs ago na sasa nikitakakuuza ni 8,000/=. Naamini ni upuuzi mtupu kuinvest katika kilimo cha miti
Tuseme uliwekeza 15,000,000/ tu huko shambani kwako kwa hesabu za UTT calculator kwa lowest intrest rate ya 12% ungekuwa umezalisha 434,398,831.81 ukijumlisha na hiyo million 15 unapata 449,398,831.81 hii hela unaipata wewe bila kufanya chochote ndani ya hiyo miaka 30.
#Tukutana 2040 panapo majaliwa tutakuwa tunashift flights tu leo Amstardam kesho Paris keshokutwa Cape town mtondogoo Dubai.Ni humu tu🤫🤫🤫