Challenge ya kusave pesa UTT

Challenge ya kusave pesa UTT

Wadau wa maendeleo hasa wanaume tukutane hapa kutekeleza hii challenge.

Mimi nimeanza kwa kutoa pesa zote benki na kupeleka UTT UKWASI FUND na BOND FUND nimeweka huko.Panapo majaaliwa tukutane at 40.Life starts at 40.

Baada ya comulative interest za miaka kama 15 hivi.Ntakuwa na uwezo wa kutimiza ndoto zangu za kwenda kuizunguka Dunia.Mimi ni mpenzi wa adventure.

Pia kila mwisho wa mwezi nimejiwekea ka utaratibu ka kutupia vilaki kadha huko UTT.

Pia kwa umri huo ntakuwa naitwa Daddy😀😀😀hapo chacha ni mwendo wa kula na kunywa.Na kwa kiasi fulani ntawaachia wanangu kaurithi na wenyewe waendeleze nilipoishia.

Wakulungwa karibuni kwenye Challenge!!!!

#M.O.B NIGGERS!!!
Umeweka hela zote!!! utakuja kulia kilio cha mbuzi...kama UTT ikidondoka..utashtaki wapi? Tufikirie nje ya box
 
UTT inapendwa kwa sababu inafanya Compounding interest,kitu ambacho hakifanyiki kwenye bond za serikali..wao watakupa gawio ambalo ni constant miaka yote 25..
The best decision ni kununua bond na return unaiweka UTT.
Pamoja na compunding,annual +capital gain viko chini ya return ya bonds.
Try the math mkuu wangu
 
Nmewekeza kote mkuu.. hivyo najua ninacho kuambia..
 
Ishi sasa boss kuna yule tajiri kwenye bible aliyesema nishajaza maghala yangu sasa acha nianze kula bata usiku malaika mtoa roho katumwa kuchukua roho yake

Yote kwa yote kuwekeza ni muhimu lakini punguza kujipiga kifua the future is full of unexpected things
 
Hongera
Wadau wa maendeleo hasa wanaume tukutane hapa kutekeleza hii challenge.

Mimi nimeanza kwa kutoa pesa zote benki na kupeleka UTT UKWASI FUND na BOND FUND nimeweka huko.Panapo majaaliwa tukutane at 40.Life starts at 40.

Baada ya comulative interest za miaka kama 15 hivi.Ntakuwa na uwezo wa kutimiza ndoto zangu za kwenda kuizunguka Dunia.Mimi ni mpenzi wa adventure.

Pia kila mwisho wa mwezi nimejiwekea ka utaratibu ka kutupia vilaki kadha huko UTT.

Pia kwa umri huo ntakuwa naitwa Daddy😀😀😀hapo chacha ni mwendo wa kula na kunywa.Na kwa kiasi fulani ntawaachia wanangu kaurithi na wenyewe waendeleze nilipoishia.

Wakulungwa karibuni kwenye Challenge!!!!

#M.O.B NIGGERS!!!
sana kwa kumiliki mchongo wa kukuwezesha kujaza laki laki UTT
 
Ishi sasa boss kuna yule tajiri kwenye bible aliyesema nishajaza maghala yangu sasa acha nianze kula bata usiku malaika mtoa roho katumwa kuchukua roho yake

Yote kwa yote kuwekeza ni muhimu lakini punguza kujipiga kifua the future is full of unexpected things
Bata nakula,kuwekeza nawekeza,na hata nisipofika huo umri hizo pesa nimeandikisha warithi ni wanangu na ndugu zangu.

Sina cha kupoteza, life is a gamble!!!
 
The best decision ni kununua bond na return unaiweka UTT.
Pamoja na compunding,annual +capital gain viko chini ya return ya bonds.
Try the math mkuu wangu

Mfano hapo wa BOND za BOT nimeweka million 15 ila inaleta million 30 kwa miaka 15.Hii naona ni ndogo compaired na UTT ambapo amount gained inacompound na kwa kikokotoo cha UTT baada ya miaka 15 unakuwa na pesa mara tatu mpaka nne ya kiwango ulichowekeza.

📌UTT ni bora kwasababu ya COMPOUNDING INTREST.

Hiyo nyingine ni calculation za UTT kwa lowest intrest rate ya 12% with single sum investment ya 15million.Check the difference!!!!

cc BEZO
 
Attachments

  • Screenshot_20250810-072118.jpg
    Screenshot_20250810-072118.jpg
    294 KB · Views: 19
  • Screenshot_20250810-075017.jpg
    Screenshot_20250810-075017.jpg
    339.4 KB · Views: 22
Back
Top Bottom