issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 5,738
- 12,357
Shukrani sana kiongozi🙏Kuna wadau hapo juu wamekufafanulia vzr , moja kuna sheria ambayo inalinda hii mifuko na serikali haiwezi kuingilia wala kufanya chochote isipokuwa kutengeneza mazingira wezeshi tu ,pili uhakika wa kuendelea kupata faida - kwasababu wanawekeza kwenye biashara ambazo ni uhakika wa interest mfano bonds za benki kuu na bonds za mabenki.Ndio maana taasisi kama UTT ilianza toka mwaka 2003 hivi na leo ina miaka zaidi ya 22 sokoni , ila ajabu inapiga kazi miaka yote hiyo na hakuna ambaye amewahi kuripoti kuibiwa wala kutapeliwa.