Challenge ya kusave pesa UTT

Challenge ya kusave pesa UTT

Wadau wa maendeleo hasa wanaume tukutane hapa kutekeleza hii challenge.

Mimi nimeanza kwa kutoa pesa zote benki na kupeleka UTT UKWASI FUND na BOND FUND nimeweka huko.Panapo majaaliwa tukutane at 40.Life starts at 40.

Baada ya comulative interest za miaka kama 15 hivi.Ntakuwa na uwezo wa kutimiza ndoto zangu za kwenda kuizunguka Dunia.Mimi ni mpenzi wa adventure.

Pia kila mwisho wa mwezi nimejiwekea ka utaratibu ka kutupia vilaki kadha huko UTT.

Pia kwa umri huo ntakuwa naitwa Daddy😀😀😀hapo chacha ni mwendo wa kula na kunywa.Na kwa kiasi fulani ntawaachia wanangu kaurithi na wenyewe waendeleze nilipoishia.

Faida ya UTT pesa yako inazaa.
Benki pesa yako haizai.

Faida ya UTT pesa haina makato.
Benki pesa ina katwa charges za mwezi na kila ukitoa.

Faida ya UTT pesa yako ukihitaji unapata ndani ya siku 3 kwa LIQUID FUND na kwa BOND FUND unapata ndani ya siku 10.
Benki pesa unapata muda wowote ila kuna kiasi huwezi kutoa mpaka maelezo ya kueleweka.

Faida za UTT pesa utatoa hata yote hawana kikwazo na UTAAMUA MWENYEWE WAKUWEKEE KATIKA ACC. GANI YA BENKI.

FAIDA YA UTT sio rahisi kutoatoa pesa hovyo kwasababu pesa inatolewa tu ndani ya siku za kazi.
Benki ni rahisi kutoatoa pesa hovyo kwa wale wasio na nidhamu ya pesa.

#UTT ndio mkombozi kwa wachumi na wajanja.

Wakulungwa karibuni kwenye Challenge!!!!

#M.O.B NIGGERS!!!
Wengi hamjui ya kwamba huko UTT sio guarantee hela ya itazalishwa tu pia kuna risk tafauti na benki inakua imekaa tu
 
Ba

Nasikitika kakwambia hiyo pesa hutoifaidi inapokuwa imenona lazima mkeo akuwaishe mbele ya haki ili yeye awe huru kutumia na vijana wadogo maisha ni haya haya tunayoishi
 
Usiwaze ndugu yangu hata mimi nilikuwa na mawazo kama yako ila UTT hawakulazimishi nani umuandike kama mrithi wako.

Na kwanini utangaze kuwa kuna hela umewekeza UTT kama unabusara unawaambia watu wako wa karibu tu.Ukiwa na mke kichomi haya mambo hatakiwi kabisa kujua😀😀

Mimi kwenye warithi wangu nimewaandika watoto wangu ndugu zangu na mama yangu.Kwahiyo huyo unayemuwaza kuwa atakula jasho langu hayo na hana chake hapo.

Tena unaandika na % asilimia za wao kupata.So mtu anaweza akawa mrithi ila akalamba asilimia 5 kuwa mrithi haikufanyi uwin maisha ila inategemea na aliyeandika kakupa asilimia ngapi.
 
UTT ina risk Kuna kupata na kupoteza tatizo wengi mnafata mkumbo
Kaka tumbili hebu funguka kama mwanaume mbona unarukaruka na unatoa mawazo yako kama mtu ambaye hajaelimika.

Andika vizuri na kwa kirefu unachotaka kukisema ili watu wakuelewa na ikiwezekana tukupinge kwa hoja.
 
Wekeza kwenye biashara mbalimbali, huko kwenye risk ndogo na faida ni ndogo.
Upo sahihi ila biashara siyo ya kila mtu.Sisi wengine tunaona bora kuwekeza kwenye risk ndogo,ambapo hela yangu itakuwepo na bado ntapata faida.Muda wowote nikiitaka hiyo pesa naipata.So UTT ni mgodi uliosahaulika.

Na pengine kama unauwezo wa kuwekeza kwenye biashara fanya hivyo ila usisahau kuwekeza na kwenye UTT.Biashara hazitabiriki na hazina formula.

Kwa UTT kama unapata hela ya kula basi nyingine tupia huko subiri miaka yako 10 to 15 nenda vuta mkwanja fanya mambo yako.Kutesa kwa zamu sisi zamu yetu bado,wacha tuendelee kusubiri.

📌Cha msingi na cha muhimu ni uvumilivu.
 
HIvi naweza kifungua akaunt yangu mwenyewe ya utt na kuanza kudundulizia huko bila kifika ofisi zao?
Unaweza kufungua piga *150*82#.

Utafungua account na kuruhusiwa kuwekeza ila hutaweza kuzitoa hizo hela mpaka ukakamilishe usajili.Na usajili utaukamilisha kwenye ofisi zao au kwa mawakala wao,au chukua form kwa mawakala jaza na uiscan na uwatumie kwa e-mail.

Kama utaenda ofisini kwao usisahau kubeba kitambulisho cha nida au namba ya nida na picha ya pasport.Pia na bank account namba ambayo ungependa uiunganishe na UTT.
 
Ahsante sana mkuu ...
 
Upo sahihi ila biashara siyo ya kila mtu.Sisi wengine tunaona bora kuwekeza kwenye risk ndogo,ambapo hela yangu itakuwepo na bado ntapata faida.Muda wowote nikiitaka hiyo pesa naipata.So UTT ni mgodi uliosahaulika.

Na pengine kama unauwezo wa kuwekeza kwenye biashara fanya hivyo ila usisahau kuwekeza na kwenye UTT.Biashara hazitabiriki na hazina formula.

Kwa UTT kama unapata hela ya kula basi nyingine tupia huko subiri miaka yako 10 to 15 nenda vuta mkwanja fanya mambo yako.Kutesa kwa zamu sisi zamu yetu bado,wacha tuendelee kusubiri.

📌Cha msingi na cha muhimu ni uvumilivu.
Mi nataka kuona hela yangu, siiweki ukutani.
 
Back
Top Bottom