Tumbili in town
JF-Expert Member
- Jun 20, 2025
- 340
- 500
Hongera sanaSaving zinasaidia sana, mm nilianza UTT mwaka jana mwezi wa nane, nimefikisha 87,000,000 Nimetoa 10M kwa ajili ya expansion ya biashara yangu, Kwa mwezi napata faida zaid ya 800,000. tujifunze kusave
Jiandae kuliaMimi nimetoa pesa UTT nimewekeza kwenye Crypto tukutane 2035.
Mjukuu wangu, mimi umri wangu ni miaka 75, je, unanishauri nikiwekeza vipesa vyangu huko UTaTa /UTiTiii kwa miaka 15?Wadau wa maendeleo hasa wanaume tukutane hapa kutekeleza hii challenge.
Mimi nimeanza kwa kutoa pesa zote benki na kupeleka UTT UKWASI FUND na BOND FUND nimeweka huko.Panapo majaaliwa tukutane at 40.Life starts at 40.
Baada ya comulative interest za miaka kama 15 hivi.Ntakuwa na uwezo wa kutimiza ndoto zangu za kwenda kuizunguka Dunia.Mimi ni mpenzi wa adventure.
Pia kila mwisho wa mwezi nimejiwekea ka utaratibu ka kutupia vilaki kadha huko UTT.
Pia kwa umri huo ntakuwa naitwa Daddy😀😀😀hapo chacha ni mwendo wa kula na kunywa.Na kwa kiasi fulani ntawaachia wanangu kaurithi na wenyewe waendeleze nilipoishia.
Faida ya UTT pesa yako inazaa.
Benki pesa yako haizai.
Faida ya UTT pesa haina makato.
Benki pesa ina katwa charges za mwezi na kila ukitoa.
Faida ya UTT pesa yako ukihitaji unapata ndani ya siku 3 kwa LIQUID FUND na kwa BOND FUND unapata ndani ya siku 10.
Benki pesa unapata muda wowote ila kuna kiasi huwezi kutoa mpaka maelezo ya kueleweka.
Faida za UTT pesa utatoa hata yote hawana kikwazo na UTAAMUA MWENYEWE WAKUWEKEE KATIKA ACC. GANI YA BENKI.
FAIDA YA UTT sio rahisi kutoatoa pesa hovyo kwasababu pesa inatolewa tu ndani ya siku za kazi.
Benki ni rahisi kutoatoa pesa hovyo kwa wale wasio na nidhamu ya pesa.
#UTT ndio mkombozi kwa wachumi na wajanja.
Wakulungwa karibuni kwenye Challenge!!!!
📌Kujiunga Piga *150*82# ufungue account,bado hujachelewa,anza kujiwekeza leo!!!
Ingia playstore download app ya UTT AMIS.
Vijana future yenu inategemea na leo yenu.Mbususu na kulana kimasihara sio dili.Amkeni!!!
"Whenever i see an opportunity,i never think twice"
#M.O.B NIGGERS!!!
#Heshima ya mwanaume pesa.
#NO UTT,NO FUTURE.
📍📍📍CHALLENGE ISAMBAE KATIKA MITANDAO YOTE VIJANA WAAMKE.
Mafanikio sio siri na haijawahi kuwa siri. Iko wazi consistent ya buy at low price sell at higher priceNjia ya mafanikio ni siri,
huyu ni winger asiyelipwa 😳
Uongo. Haifiki hiyondio ila intrest za benki hazivuki 9% wakati ya UTT ni 12% mpaka 15%.Mtu aliyewekeza UTT bado anafaida zaidi kuliko aliyewekeza benki.
Uzuri UTT-Amis Siyo taasisi ya kidini, Wala haifungamani na dini yoyote ile.Riba ni dhambi imekatazwa katika vitabu vyote vya dini. Usichukue wala usile riba. Tafuta biashara fanya upate faida, acha shortcut ya kupata fedha bila kufanya kazi hiyo ni dhambi. Pesa haizai pesa, lakini kazi au biashara inazaa pesa.
Mwenyezi Mungu atuongoze wote katika njia sahihi
Umefanya uamuzi wa busara Mzee wangu.Wadau wa maendeleo hasa wanaume tukutane hapa kutekeleza hii challenge.
Mimi nimeanza kwa kutoa pesa zote benki na kupeleka UTT UKWASI FUND na BOND FUND nimeweka huko.Panapo majaaliwa tukutane at 40.Life starts at 40.
Baada ya comulative interest za miaka kama 15 hivi.Ntakuwa na uwezo wa kutimiza ndoto zangu za kwenda kuizunguka Dunia.Mimi ni mpenzi wa adventure.
Pia kila mwisho wa mwezi nimejiwekea ka utaratibu ka kutupia vilaki kadha huko UTT.
Pia kwa umri huo ntakuwa naitwa Daddy😀😀😀hapo chacha ni mwendo wa kula na kunywa.Na kwa kiasi fulani ntawaachia wanangu kaurithi na wenyewe waendeleze nilipoishia.
Faida ya UTT pesa yako inazaa.
Benki pesa yako haizai.
Faida ya UTT pesa haina makato.
Benki pesa ina katwa charges za mwezi na kila ukitoa.
Faida ya UTT pesa yako ukihitaji unapata ndani ya siku 3 kwa LIQUID FUND na kwa BOND FUND unapata ndani ya siku 10.
Benki pesa unapata muda wowote ila kuna kiasi huwezi kutoa mpaka maelezo ya kueleweka.
Faida za UTT pesa utatoa hata yote hawana kikwazo na UTAAMUA MWENYEWE WAKUWEKEE KATIKA ACC. GANI YA BENKI.
FAIDA YA UTT sio rahisi kutoatoa pesa hovyo kwasababu pesa inatolewa tu ndani ya siku za kazi.
Benki ni rahisi kutoatoa pesa hovyo kwa wale wasio na nidhamu ya pesa.
#UTT ndio mkombozi kwa wachumi na wajanja.
Wakulungwa karibuni kwenye Challenge!!!!
📌Kujiunga Piga *150*82# ufungue account,bado hujachelewa,anza kujiwekeza leo!!!
Ingia playstore download app ya UTT AMIS.
Vijana future yenu inategemea na leo yenu.Mbususu na kulana kimasihara sio dili.Amkeni!!!
"Whenever i see an opportunity,i never think twice"
#M.O.B NIGGERS!!!
#Heshima ya mwanaume pesa.
#NO UTT,NO FUTURE.
📍📍📍CHALLENGE ISAMBAE KATIKA MITANDAO YOTE VIJANA WAAMKE.
Hongera sana Mwamba. Huo ni mshahara wa afisa wa serikali kabisa.Saving zinasaidia sana, mm nilianza UTT mwaka jana mwezi wa nane, nimefikisha 87,000,000 Nimetoa 10M kwa ajili ya expansion ya biashara yangu, Kwa mwezi napata faida zaid ya 800,000. tujifunze kusave
Which coin?Mimi nimetoa pesa UTT nimewekeza kwenye Crypto tukutane 2035.
Mkuu yote tunayafanya kujihami. Kuitafuta nafuu ya kesho ambayo hata hatujui kama tutakuwepo!Which coin?
Uli save liquid bond(ukwasi fund) sio boss?Saving zinasaidia sana, mm nilianza UTT mwaka jana mwezi wa nane, nimefikisha 87,000,000 Nimetoa 10M kwa ajili ya expansion ya biashara yangu, Kwa mwezi napata faida zaid ya 800,000. tujifunze kusave