Challenge ya kusave pesa UTT

Challenge ya kusave pesa UTT

Ikikupendeza angaliaangalia kwenye post za nyuma nimeshaelekeza kila kitu mpaka jinsi ya kukokotoa😀😀 usichoke kujifunza.

Kwasababu intrest rate inachezacheza kulingana na soko la hisa na uwekezaji ni vyema kwenye hizi hesabu utumie intrest rate ndogo kabisa ambayo ni 12% hivyo ndivyo hesabu za pesa zinapigwa🤝

Na pia ukiandika kwenye google UTT calculator watakuletea calculator mbili;
1.Single sum calculator.Hii ni ile unaweka mzigo alafu unaacha kwa muda unaotaka ila unaruhusiwa kuongeza.

2.Monthly sum calculater.Hii unaweka mzigo kila mwezi.
Asante nimeelewa
 
Acha stori za kijiweni braza biashara sio makalio,kwamba kila mtu anayo au ukifungua utawin, wakati UTT ni uhakika asilimia zaidi ya 98.

Braza unajishushia heshima, unauwakika hizo ni fixed accounts.Jaribu uwe na taarifa sahihi laasivyo utaonekana mediocre.
Biashara sio makali ndio maana ninyi mnaziogopa na sisi tunazikimbilia.

Mzee hizo ni fixed accounts tu majina ndo yamerofautiana kibiashara ila zote ni kundi moko.
Nyingi ni hazina makayo ya mwezi, unatoa pesa kwa interval fulani, pesa inaongezeka asimilia kadhaa baada ya muda fulani nk.
 
Ndio maana kuna post nimeandika kila uwekezaji una RISK ZAKE!!!

Hujalazimishwa kujiunga UTT wewe nenda kawekeze unapoona panakufaa sisi wengine hatupendi kubeti/kurisk high so UTT ni nzuri zaidi na zaidi.
Punguza makasiriko
Na mutual fund sio UTT tu.
Bongo ina Mutuala fund 6
Za serikali 2 na private 4

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Riba ni dhambi imekatazwa katika vitabu vyote vya dini. Usichukue wala usile riba. Tafuta biashara fanya upate faida, acha shortcut ya kupata fedha bila kufanya kazi hiyo ni dhambi. Pesa haizai pesa, lakini kazi au biashara inazaa pesa.
Mwenyezi Mungu atuongoze wote katika njia sahihi
 
Hizi mambo kamuambie mama yako si Kila mtu anaamini dini yako
 
Riba ni dhambi imekatazwa katika vitabu vyote vya dini. Usichukue wala usile riba. Tafuta biashara fanya upate faida, acha shortcut ya kupata fedha bila kufanya kazi hiyo ni dhambi. Pesa haizai pesa, lakini kazi au biashara inazaa pesa.
Mwenyezi Mungu atuongoze wote katika njia sahihi
Umefanya kazi,umepata pesa then unawekeza,baki hivyo,wawekezaji tunapeta.
 
Saving zinasaidia sana, mm nilianza UTT mwaka jana mwezi wa nane, nimefikisha 87,000,000 Nimetoa 10M kwa ajili ya expansion ya biashara yangu, Kwa mwezi napata faida zaid ya 800,000. tujifunze kusave
 
Saving zinasaidia sana, mm nilianza UTT mwaka jana mwezi wa nane, nimefikisha 87,000,000 Nimetoa 10M kwa ajili ya expansion ya biashara yangu, Kwa mwezi napata faida zaid ya 800,000. tujifunze kusave
Hongera sana
 
Back
Top Bottom