Chalamila omba wasaa ukutane na Mheshimiwa Rais uombe umueleze upande wako wa stori

Huyu Chalamila hakuna cha kutumia busara hata Mh Rais alishamwambia wewe ni mropokaji na ukiangalia clips nyingi wakati wa kuropoka huwa hatumii akili staili za mwendazake hizo sio kiongozi mwenye busara mwache apumzike alipokula panatosha huenda angeharibu zaidi yakamkuta ya SABAYA
 
Sijui anatumia jina gani tu humu..
Wadukuzi watuambie, au ndiyo Bujibuji 😂 , siku Ljubljana twafaa!
Kuropoka kwa jamaa nafikiria haswa wakati wa kupokea vifaa tiba, akiomba watu wa Mwanza wasimchukie mama Rais, hajamuua Magufuli siku chache zilizopita, plus huu upuuzi wa mabango, yeye kusema chochote hata tusi, inaleta picha kama alikuwa anatengeneza kitu fulani.

Anyways, aje huku tujiajiri, tufuge simbilisi.

Everyday is Saturday................................
 
Wacha ushenzi basi mwamba!
 
Una kideo tuone? Huyu jamaa shida hana breki kbs ..duh..ila tuseme ukwel sio katili kama kina Sabaya &the co.
 
Hv simbilisi kizazi hiki bado zipo??? Duh🙌
 
Sasa kama amesikia haya maneno si bora ameyakunusha hadharani kuliko kuyakalia kimya? Maneno ya kijinga kama hayo yakiendelea ndio mwisho baadhi wanaamini kuwa ni kweli. Sidhani kama hili ndio limemuondoa madarakani. Kuna umuhimu wa mamlaka kuweka wazi sababu hizo ili wengine wajifunze.

Amandla....
 
Huwa hakuna mtawala asiyependa wateule wanamfagilia.
Magufuli akifanya uchawa sana wakati wa utawala wa BWM na JK na waliweza kumvumilia ufisadi wake na madudu yake na hii ni kwa sababu alikuwa pia aiwasurprise kwa bidii ya kazi
 
Hebu sikiliza hapa ndio utajua hii ndio imemuondoa Wala sio Ile ya mabango
Chalamila alikuwa ana address rumours zilizoko mitaani na kujaribu kumclear rais dhidi ya tuhuma za kijinga ambazo watu mitaani wanaziamini. Yeye alikuwa mkuu wa mkoa wa huko atakuwa amejua what is going on hujo mitaani mwanza

Nyie mnadhani nchi nzima imesahau kifo cha Magufuli na imemove on, but huenda kanda ya Ziwa wanaamini Magufuli kauliwa (Japo ni mawazo ya kijinga)

Kwenye hiyo clip Chalamila anamsema vizuri kabisa rais ili wananchi wampokee, wamkubali na wampe kila aina ya msaada kwenye kuongoza nchi, na pia anamclear dhidi ya tubuna za kipuuzi ambazo huenda ziko mitaani huko kanda ya Ziwa!

Chalamila it seems ana IQ kubwa sana ndo maana haeleweki
 
Natabiri mama kumrudisha kwenye u Kuu wa Mkoa ASAP
Never. Maneno yake kwa umma eti Samia hakumwua Mag, yalikuwa ya kijinga kabisa. Hivi ni nani alimwambia kuwa Mag aliuawa? Kaka siyo uwendawazimu ni nini?

Hawa ndio wale, hajaulizwa, anaanza kusema, mimi sikuiba. Mtu wa namna utamchukuliaje?
 
Unataka kusema mama SSH kakurupuka kumtumbua?
 
Kimsingi yeye alipaswa kumtaarifu Rais kama Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa then angekuwa amemaliza kazi yake.

RC sio msemaji wa serikali amevunja protocol na sasa amepose shida maana hata kamakuna ambao hawakuwa na hiyo feeling wanaanza kuwa nayo. Kumbuka roumors spread faster.

Hakupaswa kumuweka Rais kwenye hali hii especially kipindi ambacho Rais anatarajia kufanya ziara ya kikazi mkoani hapo.

Swala la kiusalama angeripoti ikulu then wao wangeamua cha kufanya either aliongelee Rais mwenyewe atakapokuwa huko au walitolee ufafanuzi. Lakini kwa hili halikuhitaji hata ufafanuzi maana ni rumours ambazo zimeenezwa na wajinga wachache kwenye mitandao tu.

He made a big mistake na anafanya makosa akiwa kwenye uangalizi unatarajia Kuna mtu atamuacha???? He made his choice. Akalewe
 
Mwenye hii clip tafadhali weka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…