Chakula kitamu kinapatikana wapi ?

Usijali pesa yake matumizi. Nzi kufikia kwenye kidonda haki yake. Ukitaka hata mwezi mzima nipo tayari mama. Pia uwabebee na wana nyumbani.
Mhhhhhhh hii hadi mimi imenigusa [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Nenda Capetown Fish Market off Kimweri avenue msasani ukamalize mshahara wako. Nenda na rafiki zako wawili mtainjoi sana.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…