Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,263
- 3,628
Bwanae mimi nilishindwa kabisaa kula kitu Ugali, wa aina yeyote ile ili mradi ni ugali!! mpaka leo nikiuona mwili unasisimka...... nilivokuwa naona watu wanasonsomera kwa kasi na nyama nikadhani labda ni mtamu km keki, kuuumbe hauna radha hata!!
nikiula lazima nitapike jamani khaa!! lkn nikagundua hata Kenya, South africa wanakula sana Hii makitu.
nikiula lazima nitapike jamani khaa!! lkn nikagundua hata Kenya, South africa wanakula sana Hii makitu.