wangu nikiwa nae kwenye mpango mzima wa chakula cha usiku kwa watu wazima, hataki kabisa kuona taa inawaka,..na mm napenda iwake taa kiasi kwamba ninaona kila kitu kwa macho yangu...ishu hii ntaisolve vip?na yuko serious kabisa nikiwasha taa cpati kitu na anasema tuache na tulale...

na wewe kuwa serious, usisimamishe mlingoti gizani, hapo mtaenda ngoma droo
Kula chakula mchana badala ya usiku.
........badilisha hiyo taa ya kuchimbia madini,mambo yatakuwa sawa ukiweka yenye mwanga hafifu na yenye rangi!!!mwanga mkali na wewe wa nini?unatafuta sindando?kkhaa
na wewe kuwa serious, usisimamishe mlingoti gizani, hapo mtaenda ngoma droo
tafuta taa romantic,mwenzio akifumba jicho akifungua anakutana na taa kama ya kuchambulia pamba inamuumiza macho. afu inawezekana na kaaibu flani. kuna taa zina mwanga hafifu wa rangi tofauti. kuna taa pia unapunguza mwanga kutokana na uhitaji.
kwan kuusimamisha ni optional?
wangu nikiwa nae kwenye mpango mzima wa chakula cha usiku kwa watu wazima, hataki kabisa kuona taa inawaka,..na mm napenda iwake taa kiasi kwamba ninaona kila kitu kwa macho yangu...ishu hii ntaisolve vip?na yuko serious kabisa nikiwasha taa cpati kitu na anasema tuache na tulale...
point@kavatiKula chakula mchana badala ya usiku.
point@kavati[/QUOTE]
Katavi.....
Rose1980 kwani hujui kuwa tuna on and off switch?
Uki switch on winch inanyanyuka, ukiswitch off nanga inashuka.
Full user option
Hahahaha! King'asti ndo nini kuvunja wenzio mbavu? Taa ya kuchambulia pamba!!! Nimecheka sana...loltafuta taa romantic,mwenzio akifumba jicho akifungua anakutana na taa kama ya kuchambulia pamba inamuumiza macho. afu inawezekana na kaaibu flani. kuna taa zina mwanga hafifu wa rangi tofauti. kuna taa pia unapunguza mwanga kutokana na uhitaji.
Teh, teh, teh! Idumu jf na memba wake wote!..........badilisha hiyo taa ya kuchimbia madini,mambo yatakuwa sawa ukiweka yenye mwanga hafifu na yenye rangi!!!mwanga mkali na wewe wa nini?unatafuta sindando?kkhaa
Teh, teh, teh! Idumu jf na memba wake wote!..
Hahahaha! King'asti ndo nini kuvunja wenzio mbavu? Taa ya kuchambulia pamba!!! Nimecheka sana...lol