... .chakula cha usiku kwenye GIZA..

kwahiyo kama sasa hivi kipindi cha mgao inakuaje?tafuta maujanja mengine siyo lazima kila siku kitandani.sometime hata bafuni poa.au hata hamuogi wote?aisee mimi haiwezekani.inabidi niione kozi huwa nalengesha bila kushika na mkono.so lazima nione sehemu inapoingia la sivyo hanioni hadi aweke mikono juu.mia

hahahaha hapo umenena maana unaweza kukuta ni ya kichina
 
........badilisha hiyo taa ya kuchimbia madini,mambo yatakuwa sawa ukiweka yenye mwanga hafifu na yenye rangi!!!mwanga mkali na wewe wa nini?unatafuta sindando?kkhaa

hahahahaha hii post imenifanya nivunje glass ya bmkubwa pembeni apa...dah....mbavu cna
 
wangu nikiwa nae kwenye mpango mzima wa chakula cha usiku kwa watu wazima, hataki kabisa kuona taa inawaka,..na mm napenda iwake taa kiasi kwamba ninaona kila kitu kwa macho yangu...ishu hii ntaisolve vip?na yuko serious kabisa nikiwasha taa cpati kitu na anasema tuache na tulale...

embu tuambie mkuu,hataki hata uwashe chemli?je mshumaa?....basi kama vipi tumia tochi.
 
Back
Top Bottom