Kula chakula gizani ni very risk

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,051
10,496
Starehe tunazipenda ila mwisho wake ni mbaya.

Kuna huyu bibie ni neighbor kitu nachompendea ni simu moja tu anakuwa ashafika mara nyingi simtafuti namtia block mpaka hali ikiwa mbaya namu unblock nakuomba huduma dk 0 anakuwa ashafika ni wakienyeji promax japo kajaliwa sura na kishepu huyu mara nyingi tunakulana usiku na taa zote zinazimwa kwa sababu fulani fulani.

Sasa leo nimeamua kuturn lights on kuona pale napoingia aisee kwa vile mahanja yalikuwa yashanipanda sikutilia maanani kile nilichokiona sasa baada wazungu kutoka ili nijiandee na mzunguko wa pili hapo ndipo nikajua nilikuwa sijui sehemu ya mapaja karibu na tunda lilipo kuna mabaka ambayo yanaelekea vidonda na kwa mujibu wa muhusika anadai yanawasha vibe lote limekata Juzijuzi nimetoka kutibu gonjwa la zinaa kwa gharama kubwa leo tena kizembe ngozi yangu imegusana na mabaka I don't know what will happen next ili nakosa raha kabisa.

Chanzo cha yote ni kutaka wanawake cheaper ambao most of the time wanakuwa wananitia kwenye gharama za kutibu magonjwa ukiachana na hilo mara ya mwisho kukutana na huyo Mwanamke michongo yote iligoma almost wiki tatu sina mchongo wowote mpaka nikaanza kuishi chini ya dollar moja kwa siku mpaka nilipoenda kuoga baharini michongo ikaanza kuja sasa leo ugwadu ulinikamata na option pekee iliyokuwepo ni huyo bibie licha ya kuwa na stress za kupata fungus at the same time nina stress ya kutopata michongo tena katika kipindi muhimu cha kuelekea sikukuu.

Aisee sometimes nabaki nakufuru why mungu umenipa kiungo ambacho kila siku kinakuwa chanzo cha matatizo kwenye maisha yangu maana kupitia kiungo hichi nilipoteza kazi Morogoro kwa fumanizi ambalo siwezi kulisahau lilinitia fedheha mimi na familia yangu kiujumla.

Roho yangu inauma sana.
 
Screenshot_20230523-203509_Quora.jpg
jiandae
 
Tafuta mke uoe braza.
 
Sasa sisi tukusaidie nini?
 
Kushindwa ku control NYEGE zako usha mtupia lawama MUNGU. Ila muda mwingine matatizo tunajitakia wenyewe, si bora uoe utulie. Mwanamke unapiga block ila ukimuhitaji una unblock kisha unamweleza na ana kuja chaap, shituka broo, acha kuwa zombie kiasi hicho. Haya kajitupie tena baharini

Vipi ulipata dawa ya kuvuta wateja?
 
Back
Top Bottom