Chakula cha usiku kiliwe kistaarabu na si kwa kelele mpaka kuamsha watoto

Didododi

JF-Expert Member
Jul 21, 2023
321
426
Chakula cha usiku ni kitamu na si tu kwamba ni kitamu bali kinamchango mkubwa kwenye kuimarisha mahusiano na kutatua migogoro midogomidogo kwenye familia.

Ila wakati wa kujipatia mlo huu ni ustaarabu kujimegea kistaarabu kwani wapo ambao wakati wa kula huzidisha kelele kwa utamu wa chakula na kujikuta wakiwaamsha watoto kutoka usingizini, ikumbukwe miongoni mwa hao watoto wapo ambao wameshayajua mapishi hivyo kushawishika kuangia huko wangali wadogo.
…....…........................................
Ikumbukwe kwamba kelele huamsha ari ya kula
 
Mwiko unapozunguka ndani ya chungu kuna kelele huwa zinatoka mkuu. Ila sasa kelele zinanoga kama chungu kikiwa chepesi ila lichungu likiwa lizito limejilalia tu alafu linakupigia kelele piga makofi hiyo ng'ombe isikupigie kelele.
 
Chakula cha usiku ni kitamu na si tu kwamba ni kitamu bali kinamchango mkubwa kwenye kuimarisha mahusiano na kutatua migogoro midogomidogo kwenye familia.

Ila wakati wa kujipatia mlo huu ni ustaarabu kujimegea kistaarabu kwani wapo ambao wakati wa kula huzidisha kelele kwa utamu wa chakula na kujikuta wakiwaamsha watoto kutoka usingizini,ikumbukwe miongoni mwa hao watoto wapo ambao wameshayajua mapishi hivyo kushawishika kuangia huko wangali wadogo.
…....…........................................
Ikumbukwe kwamba kelele huamsha ari ya kula
Tafuta hela watoto wawe na vyumba vyao
 
Mwiko unapozunguka ndani ya chungu kuna kelele huwa zinatoka mkuu. Ila sasa kelele zinanoga kama chungu kikiwa chepesi ila lichungu likiwa lizito limejilalia tu alafu linakupigia kelele piga makofi hiyo ng'ombe isikupigie kelele.
Umetisha mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom