Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

Inatisha.
Hivi wale wa mihogo ya coco beach hawana hizo mambo, maana mie nina membership card pale.
Eti mshana [emoji30] [emoji15] [emoji27] [emoji26] [emoji28] [emoji29] [emoji29]
Chunguza uone kama nao wanakula
 
Mshana Jr, kwa picha ile jinsi kikombe cha chai kinavyoandaliwa, umeniharibia siku yangu kabisaa. Sisogei tena kwenye banda la mama ntilie teeena

Lile linaweza kuwa ni limbwata unafanyiwa na mchepuko wako vilevile au mkeo
 
Aisee we jamaa umenikumbusha Zebra kwa Mzee Mushi. Huyu mzee aliwahi kuwa mkwe wangu asiye rasmi kwa binti yake (jina kapuni)

Enzi hizo nakaa Mtoni Sabasaba kwenye kighorofa cha mhindi...

We jamaa lazima utakuwa unamjua mzee Mmanda lazima...
 
Mnhhhhh mkuu mm nilikuwa naishi Vngngti Sheli na shughuli zangu n hukohuko vngngt ila ikifika muda wa kula mchana lazima nipande daladala nikale pale bugurun stend ya muhimbil na mbez.nilikuwa nafurahia ugali dona samaki.nilijaribu kujizuia kutokwenda ila nilishindwa kabisa.japo sikuwa naona mazingira yao ya jikon.
 
Sio mama ntilie tu hata hotelini, na huwezi kwepa, kwanza sokoni Ndio balaa, utauziwa nyama za watu na mavuzi/nywele Kila siku [emoji3][emoji3][emoji3] tuleni tu maana hamna namna
 
Ndio maana tunaambiwa tuanzapo kula tuanze na bismillah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…