Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

Akimaliza kuuza yeye jioni anakuja mama Raha(laa)
Mzigua balaa yule
 
mshana jr Nasikia hata maji ya kuoshea maiti ni dili sana kwa mama ntilie yakichanganywa kwnye msosi unakuwa mtamu hatari
 
Sasa hivi pale msikitini usiku wanauza viuno vya kuku,miguu na bagia za dengu
 
Huwa Najiuliza sana je hata hizo chai za vibandani tunafanyiwa haya? View attachment 693279imagine ndio kaambiwa na mganga wake afanye hivi.. Je atakataa? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Duh !!! Halafu wewe jamaa wewe [emoji12] [emoji12] [emoji12] . Msosi wangu wote lunch na dinner, nawategea kulingana na shughuli zangu Nijigogoe ?[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…