USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,153
- 28,783
Atabaki yeye na mukya chadema ilisha potea kitamboMbowe kawashika pabaya sana.. Amekuwa mbigili kali kwao hivyo mizengwe haitisha
Atabaki yeye na mukya chadema ilisha potea kitamboMbowe kawashika pabaya sana.. Amekuwa mbigili kali kwao hivyo mizengwe haitisha
Kwa nini mnataka kuwaamulia wanachadema Mustakabali wao? Uchaguzi Huwa unafanyika, waliompigia kura aendelee kuwa Mwenyekiti ndio wenye haki ya kumuondoa kwa style ileile waliyomuingiza! Wana Uwezo wa kupiga kura ya kumuondoa pia! Katiba ya Chama ndiyo iliyomuweka hapo!Kukalia madaraka kwa muda mrefu kama anavyofanya Mbowe si sahihi kwenye zama hizi ambazo Demokrasia inapiganiwa nchini Tanzania.ni kweli kuwa Mbowe amefanya mageuzi makubwa ndani ya chama hicho, lakini hiyo haiwezi kuwa sababu ya yeye kuwa mwenyekiti wa maisha. Chadema ni taasisi, tunaamini ndani ya chadema kuna watu wengi wenye uwezo wa kufanya mageuzi zaidi ili kuipeleka mbele zaidi chadema
Hao nao si walewale tu ila Leo zamu ya mbowe katika thread hiiMrema, Lipumba, Cheyo na Mbatia mwenyeviti toka mimi sijaanza la kwanza mpaka leo nimekuwa babu, mbona hamuwasemi? shame on you
Eti mmepora ,alitaka asilipe kodiMwwnyekiti wa kwanza wa Chadema ni Edwin Mtei, Mwenyekiti wa pili ni Bob Makani, Mwenyekiti wa tatu ni Freeman Mbowe na ndiye mwenyekiti mwenye mafaniko zaidi ya wote, ni kwa nini huyu anawanyima usingizi?
Mmepora Billicanas hajaunga mkono juhudi za Magufuli, mmeharibu green house yake Hai bado hataki kuunga mkono juhudi za Magufuli sasa mnaingilia hata maamuzi ya chama chake, je mmewahi kuwauliza ccm ni kwa nini haifanyi uchaguzi kupata uongozi wa ngazi ya Taifa? Au yale maigizo yanayofanyika Dodoma ya mgombea mmoja kupata 100% kwa 100% ndio uchaguzi? Ni lini ccm itajifunza kwa ANC jinsi inavyoendesha chaguzi za kweli na za wanachama kushindana kugombea uongozi?
Kila ikizungumza uenyekiti wao, Hoja yao Ndiyo hiyo eti amewashika, ameshika niniMbowe kawashika pabaya sana.. Amekuwa mbigili kali kwao hivyo mizengwe haitisha
Uchaguzi au ulanguzi tuKwa nini mnataka kuwaamulia wanachadema Mustakabali wao? Uchaguzi Huwa unafanyika, waliompigia kura aendelee kuwa Mwenyekiti ndio wenye haki ya kumuondoa kwa style ileile waliyomuingiza! Wana Uwezo wa kupiga kura ya kumuondoa pia! Katiba ya Chama ndiyo iliyomuweka hapo!
Narrow minded! Learn to think outside the Box!Nenda kwenye hoja kulingana na mada iliyopo mezani.
Hivi demokrasia ni ukomo wa madaraka au ni sauti ya wengi kutawala ???Hujajibu Hoja. Chama kinawekwa madarakani kwa ridhaa ya wananchi
Hakuna ukomo uliowekwa na katiba juu ya ukomo wa chama tawala.
Vyama vingi katiba zao zimeanisha ukomo wa Mwenyekiti wa chama ndio maana watu wanahoji nini maana ya kuwa na chama cha demokrasia halafu Mwenyekiti wake anakalia kiti bila ukomo?
Ndio inapotea sasaRuzuku haihojiwi kivipi wakati serikali ya CCM kupitia CAG inahoji ruzuku kupitia ukaguzi wa vyama hivyo lazima kila senti ya ruzuku iliyotumika iambatanishwe na risiti sasa kivp unasema hahojiwi???
Hajafanya cha maana??? Hivi kuitoa chadema iliyokuwa ina mbunge watano tu mpaka leo hii zaidi ya 80 sio mafanikio???
Kutoka chama cha kanda moja hadi leo kipo taifa zima huoni ni mafanikio hayo???
Kutoka wanachama wa kuhesabika hadi leo mamilioni hta mkutano wa diwani tu unakutana na mafuriko hayo sio mafanikio???
Kuweza kutoka chama cha upinzani cha kawaida hadi kuwa chama kikuu cha upinzani sio mafanikio??
Hivi kuvuka migogoro na propaganda kma udini ukanda ugaidi ukabila n.k ambavyo viliua CUF na NCCR, TLP huoni ni mafanikio ya mbowe???
Unajua katika vyama vyote ikiwemo CCM chama pekee ambacho kila uchaguzi kinaongeza wawakilishi + kura ni chadema pekee ilihali CCM na vyama vingine kura zinapungua kila uchaguzi je huoni kwa graph hiyo ni mafanikio kwa mbowe
Yapo mengi tu naweza andika mpaka kesho usisahau ruzuku ya chini ya million 40 alioikuta mpaka leo hii zaidi ya million 200+ kila mwezi huoni ni mafanikio
Pamoja na madhaifu yake ambayo kila mwanadamu hakosi, kwenye ukweli tusifie tusiwe na chuki haisaidii
Long live mbowe.....
Kamuulize Mwenyekiti wako! Waliolanguliwa kina Nani? Kwa Nini hawajalalamika instead nyie panyabuku ndio mnapiga Mayowe? Na Uchaguzi ujao wa Chama namdhamini form!Uchaguzi au ulanguzi tu
Kwa hiyo ungetaka kuwa mwenyekiti wa CDM? Jiulize mwenyekiti wako na rais wa nchi anavyonukisha nchi ndiyo utajua thamani ya kuwa na mwenyekiti makini."Kirefu cha CHADEMA ni Chama cha DEMOKRASIA na Maendeleo. Sasa ni demokrasia gani hiyo ambayo inaruhusu mwenyekiti mmoja kuwa madarakani milele? What if “uenyekiti wa milele” ni miongoni mwa vikwazo kwa maendeleo ya chama hicho?" Evarist Chahali
Dawa ya kulipa Kodi ni kubomoa? Mnapokea Shilingi ngapi baada ya kubomoa? Shirikisha ubongo badala ya Makalio katika kufikiriEti mmepora ,alitaka asilipe kodi
Demokrasia inataka uchaguzi sasa umefanyika na mbowe akapewa uenyekiti sasa demokrasia ipi hakunaUnafahamu tofauti kati ya CHADEMA NA CUF?-- Chadema kuna NENO " DEMOKRASIA" hapo ndipo watu tunashangaa hili neno linahusu mtu mmoja tuu au nikwa ajili ya watu?. CUF hakuna mtu wa kuuliza maana hawana NENO "DEMOKRASIA" ndiyo maana unakuta viongozi wao ni walewale bara na visiwani... ni viongozi wa milele hadi wao watakaposema TUNANG'ATUKA. Think BIG
Kwa Nini mnajichosha na kitu ambacho kishapotea?Atabaki yeye na mukya chadema ilisha potea kitambo
Kama hoja ni ukomo kivp nyerere asitajwe wakati alikaa kwenye uenyekiti wa chama zaidi ya miaka 25??? Ila mbowe hajafika hata nusu eti hakuna demokrasiaAcha kumfananisha Nyerere na vitu vya kijinga mkuu
Dikteta Ni mtu yeyote anaesigina Katiba! Niambie Mbowe kasigina Katiba ipi? Wenzako washafungua shule we naona unatafuta Ada hapo Lumumba!Halafu wanamuita JPM dikteta, si ujinga huu? JPM anafanya kazi na inaonekana.....huko CHADEMA Dj Mbowe yuko madarakani as mwenyekiti wao karibia robo karne sasa na hajafanya cha maana zaidi ya kuudhi tu wenzake na kuwatuhumu ili wamkimbie apate viongozi wapya na aendelee kula hela za ruzuku bila kuhojiwa. Wanachama wa CHADEMA Dj Mbowe ndiye sumu yenu, anawadangany na kuwafunga akili nyie mnamshangilia tu.
Mbowe huchaguliwa kwa ridhaa ya Wanachama kupitia Mkutano Mkuu wa Chama!Huchaguliwa kwa ridhaa ya wananchi, na si vinginevyo
Kama katiba inamruhusu kugombea ulitaka asigombee??Tumia akili, uwapo wa CCM madarakani hasa baada ya mwaka 1995 ni wa kidemokrasia kama Tanzania ilivyoridhia Demokrasia ya vyama vingi. Vinginevyo hoja iliyopo mezani ni uhafidhina wa mbowe ndani ya chadema, ambayo haina uhusiano na uwepo madarakani wa CCM kwa miaka na miaka. Mbowe ni mtu , chadema na CCM ni taasisi
Nadhani mngeanza na lipumba kwanza anyeng'ang'ania umwenyekiti ili hali alijiuzuruTunaanza na Mbowe kwanza wote wanafuatia kwani ni wale wale tu
Katiba inamruhusu ila wakimchoka basi watampigia kura mwingine sio kma ccm anapita bila kupingwa utake usitakeHujajibu hoja,inakuwaje Mwenyekiti wa Chama anakuwa wa milele?