funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,400
- 31,909
na sisi tunamuhitaji Magufuli kuliko!Huo ndio ukweli, tunamuhitaji Mbowe kuliko kitu chochote duniani.
na sisi tunamuhitaji Magufuli kuliko!Huo ndio ukweli, tunamuhitaji Mbowe kuliko kitu chochote duniani.
50 ikiwezekana!Magufuli vile vile kawashika pabaya mnataka aendelee beyond 10 years?
Hujajibu nilichokuuliza Hoja hapa ni kwanini Mbowe yuko Madarakani siku nyingiKatiba ya chadema kabla ya kufanyiwa marekebisho mwaka 2006 yaliyoondoa kipengele hiki kwa kisingizio cha kuweka katiba mpya
![]()
Maana hawamzungumzii Lipumba, Cheyo wala Mrema...Mbowe kawashika pabaya sana.. Amekuwa mbigili kali kwao hivyo mizengwe haitisha
Kwahiyo issue sio muda ila ni watu kama wewe mnaitaka ccm Kama ni hivyo povu za nini kwa Mbowe ingawa sisi tunajua mmekosa Bei yakeCCM ni taasisi na inafuata katiba yake, na ndio maana wananchi wamekuwa wakiiamini na kuipa dola. Na tangu uhuru viongozi wanabadilishwa kwa kuzingatia katiba ya chama na katiba ya JMT
Si ndio mnae hapo, mnamuhitaji wapi tena?na sisi tunamuhitaji Magufuli kuliko!
Usihamishe Magoli jibu nilichokuulizaHaimaanishi kuvaa kwako suruali safi juu ya chupi chafu kutakufanya uwe msafi!!!!!
Tafakari then chukua hatua!
Jinga kabisa Tayari Joto limeshakupandaRudi kwenye mada uisone tena ndo utajua kufanyaje!
You're the black minded dogTunaanza na Mbowe kwanza wote wanafuatia kwani ni wale wale tu
Wengi tumekuwa wafuasi wa vyama vya upinzani baada ya kuona mapungufu ya CCM, hata hivyo inashangaza kila tunapokosoana ndani ya vyama hivi ambavyo tunaviandaa kuvikabidhi nchi, watu hujaribu kufananisha mapungufu yake na yale ya CCM. kwakuwa CCM inatawala kwa nguvu unataka viongozi wa vyama hivi nao watawale kiimra ? Ikiwa kila uchafu wa CCM unaigwa na upinzani kutakuwa haja gani ya kuwa na vyama vya upinzani? Mkuu siasa za upinzani ni kuonyesha uwezo tofauti na pia kuonyesha namna unavyoweza kuyafanyia kazi makosa yanayofanywa na chama tawala.Vipi kuhusu cccm kutawala kwa nguvu tangu Uhuru hii huamini kama ni tatizo la Nchi hii?
issu hapa ni maslahi binafsi nani anapata nini chama kina hela nyingi lakini kubwa inawezekana hakuna uwazi au majadiliano tunatumiaje hizo fedha mbaya zaidi kunauwezekano kampuni za watu zinalipwa kihalali kabisa kwa kazi walizofanya na hapa ndo wivu unapokuja.Mrema, Lipumba, Cheyo na Mbatia mwenyeviti toka mimi sijaanza la kwanza mpaka leo nimekuwa babu, mbona hamuwasemi? shame on you
Mbowe hanunuliki so wanamwaga upupu iili tumuone mbowe hafai. Kipindi cha siasa hizi tunamuhitaji mbowe kuliko wakati wowote
Nilichoandika umesoma kama KasukuWengi tumekuwa wafuasi wa vyama vya upinzani baada ya kuona mapungufu ya CCM, hata hivyo inashangaza kila tunapokosoana ndani ya vyama hivi ambavyo tunaviandaa kuvikabidhi nchi, watu hujaribu kufananisha mapungufu yake na yale ya CCM. kwakuwa CCM inatawala kwa nguvu unataka viongozi wa vyama hivi nao watawale kiimra ? Ikiwa kila uchafu wa CCM unaigwa na upinzani kutakuwa haja gani ya kuwa na vyama vya upinzani? Mkuu siasa za upinzani ni kuonyesha uwezo tofauti na pia kuonyesha namna unavyoweza kuyafanyia kazi makosa yanayofanywa na chama tawala.
jinga kabisa mbona ccm iko miaka 56 kila uchaguzi wanashindwa lakini wajiapisha"Kirefu cha CHADEMA ni Chama cha DEMOKRASIA na Maendeleo. Sasa ni demokrasia gani hiyo ambayo inaruhusu mwenyekiti mmoja kuwa madarakani milele? What if “uenyekiti wa milele” ni miongoni mwa vikwazo kwa maendeleo ya chama hicho?" Evarist Chahali
Mkuu hivi ni wewe, umepoteaKazi kweli kweli
Hanunuliki kwa sababu Chadema ni ukoo wa mbowe tu, kama wewe si mchagga jua ni koleo au kalai ndani ya CDMCcm hawamtaki Mbowe kwasababu hanunuliki.
Hujajibu hoja,inakuwaje Mwenyekiti wa Chama anakuwa wa milele?Mbowe kawashika pabaya sana.. Amekuwa mbigili kali kwao hivyo mizengwe haitisha