Rich Hash
Senior Member
- Mar 7, 2017
- 149
- 203
- Thread starter
- #21
Isiishie hapo tu! kuwa huru, namaanisha kutoka SACCOS ya familia ya kaskazini hadi chama cha siasa!Unazungumzia kipindi tumetoka kupata uhuru nionavyo mimi b4 tanzania ikombolewe ikombolewe kwanza chadema kutoka mikononi mwa familia kiwe chama huru cha wanachama
Je kunatofauti yoyote ya ile benki ya Kilimanjaro iliyofungiwa na hii saccos inayojiita chama cha siasa?