Hatma ya Freeman Mbowe CHADEMA

Hatma ya Freeman Mbowe CHADEMA

Ukiangalia mazuri tu ya mke huwezi mwacha ,maana kila ukikumbuka mazuri yake unaweza sema hakuna mwanamke kama yeye na sitokaa nipate mke kama huyu...
Acha mfumo dume wewe.Haitakusaidia.Usipende kudharau sana kinamama
 
Hakika sisi tuliokuwepo wakati ,wakati ambao chadema haikuweza kumsimamisha mgombea wa urais tunatambua jasho na damu aliyojitolea Mbowe kuijenga chadema na hata kulijenga taifa.Sikumbuki mwaka lakini nakumbuka kulikuwa na mkutano jangwani,wabunge wote wa kuchaguliwa walikuwepo pale na idadi yao ilikuwa wabunge wa tano tuu na Mbowe akiwepo,walilalamikia uchache wao na jinsi unavyowatesa bungeni.Nikiangalia leo kati ya wabunge hao watano wengine ni marehemu lakini baadhi yao wamekufa wakiwa tayari wamerudi ccm kutetea mkate wao na wengine wamepotea mfano Mheshimiwa.Mtungirehi.Aman Warudi Kabourou aliaga dunia akiwa ccm na hata kuwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa Kigoma.Issac Cheyo na na yule mwingine wa Bariad walirudi ccm na hata kupewa ukuu wa wilaya.Mbowe amebaki imara hadi leo.Hakika Mbowe na Chuma cha mjerumani na ni sauti ya zege kama alivyojitambulisha siku ile.Hakika Mbowe ni kiongozi shupavu .
Asante sana mkuu.Umesema yote
 
Ndo tumegota hapo na hivyo ndivyo tunavyowaza sie wana 'ufipa' ....aah we Mbowe endelea tu.
Unaweza pia kuchukua fomu ukapimans ubavu ksma kweli wewe ni mwanachama.Hiki chama ni cha kidemokrasia kugombea hukatazwi
 
No matter how good one is, ukifikia point of saturated solution, you can take no more than you can.

One can be very good and very instrumental ukafanya a lot of good things, lakini akifikia optimum ya uwezo wako, you can do no more good than you did.

Waasisi wa Chadema walioweka kipengele cha ukomo wa uongozi ni vipindi viwili vya miaka 5 mitano, ndani ya katiba ya Chadema, walikuwa na maana yao nzuri tuu, lakini jinsi kipengele hicho kilivyo yeyuka into thin air kwa kunyofolewa kinyemela, leaves much to be desired.

Na ukiizungumzia tuu hoja ya ukomo, wanakushukia kama mwewe!.

P
Niliwahi kukuahidi miaka mitano iliyopita kuwa sitajibizana na wewe kwa neno lolote maana kwa bahati mbaya tunafahamiana vyema na tunaheshimiana mno.Nikikujibu ninaweza kukuvunjia heshima bure.Naomba iendelee kuwa hivyo
 
Hakika sisi tuliokuwepo wakati ,wakati ambao chadema haikuweza kumsimamisha mgombea wa urais tunatambua jasho na damu aliyojitolea Mbowe kuijenga chadema na hata kulijenga taifa.Sikumbuki mwaka lakini nakumbuka kulikuwa na mkutano jangwani,wabunge wote wa kuchaguliwa walikuwepo pale na idadi yao ilikuwa wabunge wa tano tuu na Mbowe akiwepo,walilalamikia uchache wao na jinsi unavyowatesa bungeni.Nikiangalia leo kati ya wabunge hao watano wengine ni marehemu lakini baadhi yao wamekufa wakiwa tayari wamerudi ccm kutetea mkate wao na wengine wamepotea mfano Mheshimiwa.Mtungirehi.Aman Warudi Kabourou aliaga dunia akiwa ccm na hata kuwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa Kigoma.Issac Cheyo na na yule mwingine wa Bariad walirudi ccm na hata kupewa ukuu wa wilaya.Mbowe amebaki imara hadi leo.Hakika Mbowe na Chuma cha mjerumani na ni sauti ya zege kama alivyojitambulisha siku ile.Hakika Mbowe ni kiongozi shupavu .
Mtungirehi hakuwa mbunge wa Chadema, alikuwa wa TLP ya Mrema.
 
Rais Magufuli amechukua nchi kutoka kwa Kikwete shirika la ndege ilikiwa limekufa.

Leo hii mandege yananunuliwa tu na shirika linaendelea kufufuliwa,tumenunua rada na miradi kibao inaendelea, hivyo basi rais Magufuli aendelee kutawala tu hata zaidi ya miaka 30.

Mkuu mleta mada, si tunaenda sawa? Si ndicho unachomaanisha?
 
Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekti wa Chadema kwa kuwa ana mpango wa kuungana na Wahaini wa Visiwan pamoja na Mbembe mmoja toka Ujiji Kigoma ili kumvunja moto Rais wetu kukomboa Nchi
Wewe kila ukisikia chadema naona kisharalwala kinapanda
 
Usisahau na idadi ya wabunge na madiwani waliohama wakati wa uongozi wake na wale " waliodhurika"
Huna hoja.Tulia Tu
Ondoeni hata kipengele cha ukomo wa madaraka ili Mbowe awe mwenyekiti wa maisha wa CHADEMA. Hiyo ndiyo aina mpya ya demokrasia mnayoijenga. Mmepewa nafasi ya kuchagua kati ya maji na moto, ni haki yenu kuchagua kadiri mnavyoona inafaa. Lakin katika hayo mkumbuke 2020 haiko mbali, wananchi wapenda demokrasia ya kweli TUTAWAABHIBU. Over.
CDM haitachaguliwa kiongozi wake na vibaraka wa CCM.Hilo sahau
 
Wizi na umangimeza uliokuwa umeota mizizi CCM ndo uliipa boost CHADEMA na si mbowe .awamu ya tano itawarudisha huko yangu macho
Kwenye tafiti kuna kitu kinaitwa comparative reading yaani unalinganisha vitu viwili au vitatu na kuona kipi na kwa sababu zipi kimewapita wenzie.
Sasa wakati wa failure za CCM ipo CUF ambao ndio walijenga KUB ilikuwepo TLP na NCCR zenye nguvu sana sasa kivipi weakness ya CCM isababishe CHADEMA pekee ikue na sio hivyo vyama vingine vitatu?
Kwahiyo hapo lazima ukubali kwamba CHADEMA imefika hapa ilipo sio sababu ya failure za CCM pekee bali strategy za kuweza kujijenga kama chama mbadala kwa CCM kuliko vyama vingine vya upinzani.
 
No matter how good one is, ukifikia point ya saturation unakuwa a saturated solution, you can take no more than you can.

One can be very good and very instrumental ukafanya a lot of good things, lakini akifikia optimum ya uwezo wako, you can do no more good than you did.

Waasisi wa Chadema walioweka kipengele cha ukomo wa uongozi ni vipindi viwili vya miaka 5 mitano, ndani ya katiba ya Chadema, walikuwa na maana yao nzuri tuu, lakini jinsi kipengele hicho kilivyo yeyuka into thin air kwa kunyofolewa kinyemela, leaves much to be desired.

Na ukiizungumzia tuu hoja ya ukomo, wanakushukia kama mwewe!.

P
Mkuu Pascal Mayalla huwa unaheshimika sana hapa jukwaani na muda mwingine huwa unaongea kwa mafumbo lakini hapa Sidhani kama unaongea kwa parables maana upo clear kuwa CHADEMA imefuta kipengele cha uongozi.

Hili swali aliwahi uliza Nape humu jukwaani na akajibiwa na Dr slaa pamoja na JJ Mnyika kwa hoja na nyaraka kwamba kipengele cha ukomo hakikufutwa ila katika kusaka maoni ya kutunga katiba mpya chini ya Prof Baregu suala hilo halikuwekwa na wanachama.

HIVYO BASI unapojenga hoja kuhusu suala hili usiseme kilinyofolewa bali sema katiba mpya haijazungumzia. Maana mtu anaweza dhani ilifanyiwa amendment ikafuta hiko kipengele.

Pascal upo credible so una uwezo wa kutengeneza au kuharibu so kabla hujachangia lolote keep your facts straight!!

Ni hayo tu mkuu wangu
 
Rais Magufuli amechukua nchi kutoka kwa Kikwete shirika la ndege ilikiwa limekufa.

Leo hii mandege yananunuliwa tu na shirika linaendelea kufufuliwa,tumenunua rada na miradi kibao inaendelea, hivyo basi rais Magufuli aendelee kutawala tu hata zaidi ya miaka 30.

Mkuu mleta mada, si tunaenda sawa? Si ndicho unachomaanisha?

Mkuu unaweza kuwa na Hoja nzuri pia ila iko kikatiba zaidi na ndiyo maana kuna mkulima ameenda mahakamani kupinga Ukomo wa Urais.Nadhani tusubiri maamuzi ya mahakama then hoja yako itakuwa Valid
 
Kwenye tafiti kuna kitu kinaitwa comparative reading yaani unalinganisha vitu viwili au vitatu na kuona kipi na kwa sababu zipi kimewapita wenzie.
Sasa wakati wa failure za CCM ipo CUF ambao ndio walijenga KUB ilikuwepo TLP na NCCR zenye nguvu sana sasa kivipi weakness ya CCM isababishe CHADEMA pekee ikue na sio hivyo vyama vingine vitatu?
Kwahiyo hapo lazima ukubali kwamba CHADEMA imefika hapa ilipo sio sababu ya failure za CCM pekee bali strategy za kuweza kujijenga kama chama mbadala kwa CCM kuliko vyama vingine vya upinzani.
Asante sana mkuu.Uko makini sana
 
Back
Top Bottom