Chaguo zangu wiki hii...

Vijana wanaokaa Mbagala hawana haja ya kwenda JKT
 
Nani jamani ajitokeze haraka amsaidie huyu dada anahitaji tiba.
 
kweli mtandao uko slow sana, hadi ubongo wa huyo mtoa huduma umekuwa slow kwa hiyo picha ya kimwana.
 

Kuna mchekeshaji mwingine ambae amemzidi huyu kwa vituko duniani?kama yupo ajitokeze.
 
hahahaha..........labda kwa mimi huyo namuona ndo zaidi.
 
ubunifu mwingine ni kuvunjana tu viungo.
 
Kha, hii sasa mbavu lazima ziwe za plastik na hadi uje "ku-score" unatakaiwa ukae miezi mingine sita au nane hivi, sijui Little Angel anasemaje hapa
 
Last edited by a moderator:
Charlie Chaplin was Legend ila kwa walio hai bdo huyu anafunika kwa kweli! I lyk the way he acts bila kuongea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…