Chaguo zangu wiki hii...

jchofachogenda

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
537
123
Hebu angalia vizuri macho ya huyu jamaa halafu funguka useme yaashiria nini?

041.JPG


Huu Urembo unanishangaza...

attachment.php




Taabu ya usafiri unafundisha dada zetu ukakamavu....

attachment.php



Face book inaleta balaa makazini...

attachment.php
 
Kama mke wako ni mcheza show wa mziki wa dansi inakulazimu kuwa mvumilivu wa mambo mengi sana.Huu ni mfano tu kuna mengi yanafanyika kwa kinadada hawa. 099.JPG
 
jamaa kaachiwa kijungu....basi jicho limemtoka kama tochi vile
 
Back
Top Bottom