Chaguo zangu wiki hii...

Chaguo zangu wiki hii...

Vijana wanaokaa Mbagala hawana haja ya kwenda JKT
 
attachment.php
 
kweli mtandao uko slow sana, hadi ubongo wa huyo mtoa huduma umekuwa slow kwa hiyo picha ya kimwana.
 
161.JPG
Kuna mchekeshaji mwingine ambae amemzidi huyu kwa vituko duniani?kama yupo ajitokeze.
 
hahahaha..........labda kwa mimi huyo namuona ndo zaidi.
 
Kha, hii sasa mbavu lazima ziwe za plastik na hadi uje "ku-score" unatakaiwa ukae miezi mingine sita au nane hivi, sijui Little Angel anasemaje hapa
 
Last edited by a moderator:
Charlie Chaplin was Legend ila kwa walio hai bdo huyu anafunika kwa kweli! I lyk the way he acts bila kuongea!
 
Back
Top Bottom